Kanda ya ziwa badilikeni

Huko kaskazini hawaendi kutambika kila mwaka kama unavyosema. Ni kweli kuna mengi ya kubadilika kanda ya ziwa mathalani uchawi. Ni watu wachache mno kanda hii wanafanya kitu bila ndumba, hata awe professa chuo kikuu.
Yale matambiko ya kila mwisho wa mwaka yenyewe siyo ndumba, maana naambiwa huwa anachinjwa mbuzi wa tambiko.
 
Kwenye asilimia ni asilimia ya idadi ya watoto wa pale sio asilimia ya Tanzania nzima. Kuonyesha ni idadi gani ya watoto kati ya wote waliopo hizo sehemu wanaolewa utotoni
Kwa hiyo 59% ya watoto wote wa mkoa wa shinyanga wameolewa!
 
Yale matambiko ya kila mwisho wa mwaka yenyewe siyo ndumba, maana naambiwa huwa anachinjwa mbuzi wa tambiko.
Watu wa huko hupenda kula nyama hata wakiwa Dar na wakienda nyumbani kwao huchinja mbuzi kama wana uwezo tena ni wachache tu labda kama kuna sherehe. Kanda ya ziwa wanaogopesha utakuta dokta nzima anajipaka masizi mwili mzima na mahirizi amevaa bila hivyo mambo ya watu hawa hayafanikiwi.
 
Usiingize watu wengine haya ni mawazo yangu binafsi ukisema “ mnachokifanya” ni kama vile kuna vikao vya siri 😂. Soluhisho langu nasema waache lakini labda watu wa huko wangeweza kusema zaidi.
Linganisha hiyo hapo juu na hii uliyoweka hapa chini.
Msijaribu kukwepa na kuingiza watu wengine kwenye swala hili.

Kama wewe hutoki huko, na unasema "Huo uchawi wa kuuwa albino mimi nitaujuaje", basi huna sababu nyingine ya kuuanzishia mada hapa ila hiyo ya kibaguzi inayokuandama hapa.

Ulipoleta hii mada hapa ulifanya uchunguzi ukajiridhisha kwamba ni sehemu hiyo pekee inayohusika na tatizo hilo? Hujui mahali popote palipo na tatizo kama hilo?
 

"mnachokifanya” ni kama vile unaongelea zaidi ya mtu mmoja na hili ndilo nilikuwa naongelea kwamba usiingize wengine. Badilikeni achana na ndoa za utotoni na kuuwa alibino.
 
Tunasikitisha kwa kweli, shame on us...
 
JokaKuu, mimi sina tatizo na haya. Natambua sana uliyoyaweka hapa.
Hili la watoto kuolewa sio la eneo hilo tu, tunajua maeneo mengi yenye matatizo kama hayo.

Mila na kuelimisha, vinatumika hata kwenye kupambana na 'ukeketaji'. Haya yote tunayajua, na hayapo eneo moja tu hilo aliloamua mleta hoja kulitwisha mzigo. Sababu na nia inajulikana haijifichi.

Baadhi yetu humu JF hatusomi tu mada hili na mijadala na kuichia ilipofikia, lakini tunajifunza na kuwa na kumbukumbu. Kwa hiyo sio jambo la kukurupukia kusema kwamba mleta mada alilenga sehemu hiyo kwa maksudi mazima.

Mwisho mkuu Joka Kuu, kidogo inasikitisha kwamba taifa letu halionekani kupiga hatua kwenda mbele. Kama jambo la kumwelimisha msichana hadi leo hii ni tatizo baada ya juhudi nyingi zilizokwishafanyika toka huko 1961, ina maana hakuna jambo tunaloweza kufanikisha kama nchi?
Tunaweza kuchimbua historia ya kumbukumbu ya kampeni hizi za kupambana na maswala ya jadi kama haya. Jitihada zimefanyika sana toka huko zamani.
 
"mnachokifanya” ni kama vile unaongelea zaidi ya mtu mmoja na hili ndilo nilikuwa naongelea kwamba usiingize wengine. Badilikeni achana na ndoa za utotoni na kuuwa alibino.
Unanihusisha na hayo, unanijua? au katika michango yangu hapa JF umeona popote nilipoyatetea hayo?

Usikimbie mada yako. Simamia palepale ulipoiweka kwa maana yako uliyoidhamiria.
 

Ni kweli ndoa zipo sehemu nyingine lakini huko Kanda ya ziwa inaongoza siyo hivyo tu tukiangalia idadi ya watu vilevile ni wengi zaidi. Shinyanga mfano ni mkoa wenye watu wengi tunavyoona 59% huwezi kulinganisha na mkoa wenye watu wachache halafu wana 30% au 27%. Lakini vilevile kuhusu albino ni mikoa hiyo hiyo. Hakuna agenda za siri au sijui kuna group hapa linataka kupaka matope kanda ! data hazidanganyi na kama kuna data zozote sehemu nyingine hakuna mtu anazuia mwingine kuandika chochote hapa tuko huru. Kama kuna agenda ya siri mtu unafikiri iweke wazi tuijadili. Lakini kuna mijadala ambayo watu ni kuitana majina tu mabeberu hao, tunajua ajenda zenu, sijui hamtuwezi ujinga mtupu na hausaidii mtu yeyeote na ni uongo vilevile. Mimi niko toka mwazo wa huu mtandao nimeanza kuandika hapa 2006 miaka 14 sasa na niko tayari tuongee na webmaster tuweke na mtu yeyote rekodi za topic tuone za nani ni za maendeleo zaidi
 
Kwao ni sehemu yoyote ndani ya Tanzania. Hili pekee kama hulijui linaku'expose' unaposimamia wewe.
Najua huwezi kunielewa nasema nini hapa.

Sawa najua kuna watu walionielewa vizuri na mimi. Nakushukuru kwa kupenda kuchangia topic zangu sio lazima tukubaliane kwenye maono kwani kila mtu ni tofauti. Mawazo yangu ni binafsi kabisa na hakuna mtu au group lingine linahusika.
 
Huko kaskazini hawaendi kutambika kila mwaka kama unavyosema. Ni kweli kuna mengi ya kubadilika kanda ya ziwa mathalani uchawi. Ni watu wachache mno kanda hii wanafanya kitu bila ndumba, hata awe professa chuo kikuu.
Mkoa wa kagera unajuta kuwa katika kanda hii.

Maana kila kitu na chuki za hapa na pale inahusishwa .


Sidhani kama kuna mkoa wenye wasomi wengi kama kagera nchii hii .sasa sijui unaposema maprofesor wa kanda ya ziwa wanatumia ndumba sijui unamaanisha wa wap

NB. 85%ya wakazi wa kagera ni wakatoliki wazr sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa najua kuna watu walionielewa vizuri na mimi. Nakushukuru kwa kupenda kuchangia topic zangu sio lazima tukubaliane kwenye maono kwani kila mtu ni tofauti. Mawazo yangu ni binafsi kabisa na hakuna mtu au group lingine linahusika.
Sijalazimisha tukubaliane, ila uzuri ni kwamba kuna kuelewa kitu kilichokulenga, na hata usipojitangaza kukubaliana nacho hadharani ndani kwa ndani kinakupa ukweli.

Sawa mawazo yako ni binafsi, na unapoyaleta hapa bila shaka kuna mategemeo ya mawazo hayo kuungwa mkono na makundi unayodhani mnasimama pamoja.
Kwa hiyo hili la 'binafsi' usiling'ang'anie sana, halina uzito.
 
Ukweli ni kwamba hakuna watu walio wengi kwenye elimu kama watu wa K'Njaro. Wahaya zaidi imekuwa ni ile kupiga sound; mhaya mmoja akiwa kwenye chuo fulani utajua tu. Lakini wanaweza kuwa wachagga 10 na usijue. Hii ndio maana inaonekana kama vile wahaya ndio waliojaa sana kwenye mashule lakini kuna ukweli wa ndani zaidi. Anyway haimati chochote ndugu yangu, wahaya nawakubali wanapenda sana elimu na wanaweza kumudu masuala ya elimu na wanafanikiwa sana kwenye hilo na wapo wengi tu mashuleni.

Maprofesa hasa wa kanda ya ziwa kati, wale wa magharibi wanajitahidi, ila wa kanda ya ziwa upande wa kati na mashariki bado. Hawa watu hata wasome vipi yale mambo yao hawaachi.
 
Wewe nyumbu kanda ya ziwa umeijenga wewe ? Kweli bangi mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Nilisema mwaka 2020 sasa tunaona walimu huko Mwanza wanalawiti watoto. Kwanini kila siku haya mambo ni huko tu!. Tatizo mlijikita sana kufikiria nafanya ukabila badala ya ukweli kwamba nia yangu ni kulinda watoto!
 

Attachments

  • IMG_5595.MOV
    12.9 MB
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nishakwambia Kagera haiwezi kufikia Kilimanjaro kwa wasomi hâta
Wasomi tunaangalia uwiano Ktk levels zote kuanzia diploma,degree,masters,PhD
Kilimanjaro watu Ktk levels hzo wamejaa télé tena kwa Kila Fani.
Kigezo chá usomi sio kuwa prof
Unaweza kuwa na prof 5 Mimi nikawa na Watu 20 WA masters je Nani atahesabiwa msomi?
Pia number za wahadhiri vyuo vikuu Kilimanjaro inaizid mbali mno Kagera,nenda udsm kwanzia management Hadi vitivo uone nilivyokupiga,njoo Udom,njoo ardhi ,njoo Muhas,njoo mzumbe,sua ndio baba lao kwahyo Hyo kusema unaongoza kwa wasomi ni wasomi gani?
Nchi HII ina wataalamu 9 tu WA neurosurgery kati ya Hao,5 ni Wachaga tena wanawake.
Kada nyeti kama uhasibu nimekupigaa 100% afya nimekupigaa,Elimu ndio haswaa,ICT Wachaga ni baba lao nenda vitivo vyote vya ICT uone ma experts ni kina Nani, engineering usipime,Sheria ndio haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…