The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote.
Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale.
Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya kuteuliwa wakamtenda, maana wahuni walikuwa wameshakamilisha azima yao.
Kanda ya ziwa amkeni ifike wakati mseme hapana mnatumika vibaya sana na CCM.
OVA