Nyerere alijua hili lakini alikua mbishi au alizuga. Na huyu moyoni anajua kuwa kanda ya ziwa is a natural ally wa kanda ya kaskazini. Sema issue ni political power, vyama vya kisiasa, ambition, ukanda upi uwe senior partner wa mwenzake, au nani anajiona bora kuliko mwenzake.
Nyerere alipokuwa desperate during the late 1970s and early 1980s, especially wakati wa vita vya Uganda, serikali yake na majeshi yake ya ulinzi na usalama yalikua yamejaa watu wake wa Mara pamoja na hao watu wa kaskazini. Kutoka Kaskazini, kulikua na makamanda Kiwelu, Muhidin Kimario, Imran Kombe, Kanali Msuya, Kanali Mkindi, Waziri Mkuu Sokoine, waziri wa fedha Mtei, mawaziri msuya, mramba, namfua etc. Kulikuwa na mapolisi vile vile na magereza, na civil servants wengi kutoka kanda ya kaskazini.
So Nyerere alijua during desperate times who should he trust and who would be loyal, competent and reliable.
Tofauti ya Nyerere na wakati huu, ni kwamba wasukuma ni wengi sana kuliko watu wa Mara. So kuna uwezekano wa sasa hivi kuwa na politically workable alliances na kanda nyingine na sio kanda ya kaskazini.
One issue ni kwamba some times viongozi wa hizo kanda nyingine wana weza kufeel indispensable kwenye alliance yao na kanda ya ziwa. So ukifika muda viongozi wa hizo kanda nyingine wanakuwa recycled ili wasiwe ambitious, ego zao huumia kidogo.
Baadhi ya hizo kanda nyingine zina amini kwamba zimesubiri muda mrefu toka uhuru na hazijapata nafasi ya urais.
Hizi factors zinaweza kuilazimisha kanda ya ziwa kwenye miaka yake ya mwisho kuhisi kwamba hai ziamini hizo kanda nyingine. Labda itaziamini kanda ambazo watatoka rais na waziri mkuu wajao wa awamu ya sita (makamu wa rais nadhani atatoka zanzibar). Kwasababu kanda hizo zitakuwa tiifu kwa kuwa zitapata nafasi nzuri.