econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Feb 19, 2024 #21 Msanii said: Makonda boy afanye ziara Kagera Sugar awapelekee nyomi Click to expand... Sidhani Kama atafanya hivyo
Msanii said: Makonda boy afanye ziara Kagera Sugar awapelekee nyomi Click to expand... Sidhani Kama atafanya hivyo
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Feb 19, 2024 #22 econonist said: Sidhani Kama atafanya hivyo Click to expand... Ni kakijana kapuuzi.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 19, 2024 #23 Smart911 said: Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Hatari sana
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Feb 19, 2024 #24 Sukari tu inawatoa jasho viongozi wa Afrika katika Karne hii na bado mnajenga projects kubwa kubwa ambazo usimamizi utakuwa kituko Cha Karne. Ni muda tuwepe watu waupe watutawale,sisi tumeshindwa.
Sukari tu inawatoa jasho viongozi wa Afrika katika Karne hii na bado mnajenga projects kubwa kubwa ambazo usimamizi utakuwa kituko Cha Karne. Ni muda tuwepe watu waupe watutawale,sisi tumeshindwa.
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Feb 19, 2024 #25 Kazi pekee anayoweza ni kula na kunya tu