kandambili ni KIATU?

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
Mnipige mitamko mwenzenu jamani, Zamani kilikuwa kiatu fresh tu ila sasa mikandambili.. yaani ukiwa mchezoni inatelezateleza tu bila mpango wowote.. utam wote wa mchezo unatoweka.. ila ndo chako, na chako ni chako sasa na ukisema uende kutafuta kiatu nje ya uwanja, unaambiwa tanesko wameshatawanya miwaya yao ya umeme kila kona.. nani anataka shot zisizo na mpango umri wenyewe huu ushaenda.. hebu waungwana mnisaidie ntaifurahia vipi mechi na kandambili zangu.. ??
 
cheza peku ndo mechi itanoga, haswa katika kipindi cha mvua. Angalia tu usigongwe ugoko.
 
cheza peku ndo mechi itanoga, haswa katika kipindi cha mvua. Angalia tu usigongwe ugoko.

Of course lazima iwe peku.. sasa kandambili zako mwenyewe utavaaje soksi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…