KANDARASI WA SGR Kenya(CRBC) watajwa kwa kashfa ya uagizaji sukari sumu

KANDARASI WA SGR Kenya(CRBC) watajwa kwa kashfa ya uagizaji sukari sumu

This is just madness. While yapi merkez is doing work day and night CRBC is so idle that they now have a side business of importing poisoned sugar.
 
Atasingizia kua sukari hio ilikua kwa ajili ya wafanyakazi wake...
Kampuni ambazo ziko na ruhusa ya kuagiza sukari ni Sugar Mills pamoja na Confectionery Manufacturers(Watu wa Sweets na Juices). CRBC ni kampuni ya reli, lakini wiziri wa fedha ka wapa ruhusa wao pamoja na mabepari wengine kuleta sukari sumu
 
Duh! Wachina noma sana, ata kama isingekua na sumu. Wao kuagiza sukari tu tayari kuna ishara zote za mchezo mchafu. Hawa jamaa huwa wanatabia za kujiongeza sana wakija huku ila kwao nasikia wana fuata sana sheria. Case za ku exploit rasilimali zetu ni nyingi sana na wanajua kula na kipofu. Uhuru hapo inabidi awe mkali wachina wote walio usika wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Ila navyojua mambo yake sizani kama ataweza.
 
Kampuni ambazo ziko na ruhusa ya kuagiza sukari ni Sugar Mills pamoja na Confectionery Manufacturers(Watu wa Sweets na Juices). CRBC ni kampuni ya reli, lakini wiziri wa fedha ka wapa ruhusa wao pamoja na mabepari wengine kuleta sukari sumu
halafu inaekea haikukaguliwa wameenda kuzomba the lowest quality in China. It is only in China u can get this kind of sugar that comes with mercury in it.

Teaming up the corrupt guys of Ghuangzhu with the mafia guy of Jubilee. The guys came to build a railway but will end up taking over Kenyan economy. Just like the Indians did during British colonial time.
 
Wachina ndiyo walivyo...

Wazee wa magumashi kwa bara la Africa ni waNaigeria bara la Asia ni Wachina...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom