Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wakenya walikosea sana kuchagua rais mvuta bangi.Wa Tz mushukuru Mungu sana sababu ya JPM. Mchina ana pewa kazi ya kunjenga SGR alafu anaanza biashara ya kuagiza sukari sumu na kuwauzia wakenya! Na kuzidisha ni kwamba walikwepa kodi ya bandari. ππ
Aibu ya aina gani hii?
Mystery of loads of sugar sneaked in within days
Atasingizia kua sukari hio ilikua kwa ajili ya wafanyakazi wake...Wa Tz mushukuru Mungu sana sababu ya JPM. Mchina ana pewa kazi ya kunjenga SGR alafu anaanza biashara ya kuagiza sukari sumu na kuwauzia wakenya! Na kuzidisha ni kwamba walikwepa kodi ya bandari. ππ
Aibu ya aina gani hii?
Mystery of loads of sugar sneaked in within days
Kampuni ambazo ziko na ruhusa ya kuagiza sukari ni Sugar Mills pamoja na Confectionery Manufacturers(Watu wa Sweets na Juices). CRBC ni kampuni ya reli, lakini wiziri wa fedha ka wapa ruhusa wao pamoja na mabepari wengine kuleta sukari sumuAtasingizia kua sukari hio ilikua kwa ajili ya wafanyakazi wake...
Duh! Wachina noma sana, ata kama isingekua na sumu. Wao kuagiza sukari tu tayari kuna ishara zote za mchezo mchafu. Hawa jamaa huwa wanatabia za kujiongeza sana wakija huku ila kwao nasikia wana fuata sana sheria. Case za ku exploit rasilimali zetu ni nyingi sana na wanajua kula na kipofu. Uhuru hapo inabidi awe mkali wachina wote walio usika wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Ila navyojua mambo yake sizani kama ataweza.Kampuni ambazo ziko na ruhusa ya kuagiza sukari ni Sugar Mills pamoja na Confectionery Manufacturers(Watu wa Sweets na Juices). CRBC ni kampuni ya reli, lakini wiziri wa fedha ka wapa ruhusa wao pamoja na mabepari wengine kuleta sukari sumu
halafu inaekea haikukaguliwa wameenda kuzomba the lowest quality in China. It is only in China u can get this kind of sugar that comes with mercury in it.Kampuni ambazo ziko na ruhusa ya kuagiza sukari ni Sugar Mills pamoja na Confectionery Manufacturers(Watu wa Sweets na Juices). CRBC ni kampuni ya reli, lakini wiziri wa fedha ka wapa ruhusa wao pamoja na mabepari wengine kuleta sukari sumu
Wakenya wanatia huruma aisee maana wameshalishwa sumu ya kutosha! "Wa Tz mushukuru Mungu sana sababu ya JPM. Mchina ana pewa kazi ya kunjenga SGR alafu anaanza biashara ya kuagiza sukari sumu na kuwauzia wakenya! Na kuzidisha ni kwamba walikwepa kodi ya bandari. ππ
Aibu ya aina gani hii?
Mystery of loads of sugar sneaked in within days
Hamster= Uhuru Kenyattapia dada la Maghufuli