Kande na peanuts butter

Kande na peanuts butter

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Pika kande lako liive vizuri ,nunua maarage mazuri (mapya) ambayo hayajakaa dukani sana ambayo ni ya zamani yana rangi ya kahawi hayatakupa matokeo mazuri


Ukishayapika yakiiva unga kawaida weka nazi(sio lazima)
Uje uweke peanut butter wakati unaweka kwa sahani sahani kijiko kimoja cha peanut
Unaweza chemshia ila haileti huu utamu vizuri
Mi sio mpenzi wa kande katika kujitafuta namna ya kulila nikaipata hii
Yanakua matamu sana
 
Ndio ilikuwa staili ya kuila enzi za Skonga.

Watoto wa kishua walikuwa wanakuja nazo, then wengine tunasimika uchawa kwao ili tuweze kupewa
 
Nikilaga huu mchanganyiko napata kiungulia hatari,sijala makande nakaribia miaka 10 sasa lol
 
Kande liwekwe peanut na sukari 🔥🔥🔥😋😋😋😋
 
Snapchat-303546001.jpg

Kande liwekwe peanut na sukari 🔥🔥🔥😋😋😋😋
Nimeipika leo njoo 😁😁
 
Huu uzi utafanya mtu aache ratiba zake akeshe humu.....😂😂😂😂

Aaliyyah sikutaji 😂😂😂
 
Back
Top Bottom