masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ha ha ha ha umenikumbusha mbaliNdio ilikuwa staili ya kuila enzi za Skonga.
Watoto wa kishua walikuwa wanakuja nazo, then wengine tunasimika uchawa kwao ili tuweze kupewa
Kukikuwaga na sijui vidude gani vinakaagwa wanachanganya na pilipili, vilikuwa vitamu sana ukichanganya na maharageHa ha ha ha umenikumbusha mbali
HongeraNikilaga huu mchanganyiko napata kiungulia hatari,sijala makande nakaribia miaka 10 sasa lol
Nimeipika leo njoo ππKande liwekwe peanut na sukari π₯π₯π₯ππππ
Wa nyumbani unajitendea haki sana hapo kwenye karanga π€£π€£
Mpaka zisemeWa nyumbani unajitendea haki sana hapo kwenye karanga π€£π€£
Naomba recipe.