Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Salam kwa wote wana jukwaa pendwa la Dokta.
Kumekuwepo na hadithi(simulizi) kuwa unapofunga Ndege aina ya Kanga huwa ni vigumu sana kumuweka kwenye mfano banda kama Kuku halafu kwa muda atakaoishi wakiwa wawili wa jinsia ya jike na dume wakataga mayai ndani ya banda hilo . Baadhi ya watu hushauri kuwa unafuga Kanga baada ya kuzoea hapo unapowafuga ni vizuri ukawapa uhuru wa kutembea huku na kule pia itafanya wao kutaga vichakani na kufukia mayai chini muda wa kuanguliwa unapofika hurudi na vifaranga sehemu wanapoishi lakini sio kutagia kwenye Banda kama Kuku,Bata,Njiwa na n.k.
Wataalam,Madokta wetu wa jukwaa hili kuhusu jambo hili nimekuwa na maswali kadhaa najiuliza bila kupata majibu:-
1. Kanga wanapofugwa kwenye banda huwa hawakutani kimwili mpaka awe huru ama hujizuia fanya tendo la kukutana kimwili mpaka kuwe na vichaka ama pori?
2. Hukutana kimwili lakini kusikoweza kufanya watage mayai kwa kipindi hicho wanapokuwa Bandani?
3. Ama kwa kuwa Kanga hatamii mayai kama kuku afanyavyo na badala yake huyafukia kwenye mchanga tu.
Karibu kwa michango mbalimbali ya kitaalam,kisayansi .