Kanga Weupe Wanahitajika

Kanga Weupe Wanahitajika

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Salaam wakuu,

Nahitaji Kanga MWEUPE kwa ajili ya kufuga. Nahitaji zaidi dume, ikishindikana hata jike ni sawa pia. Mimi ninafuga kanga wa madoa hivyo nahitaji kuchanganya na weupe pia. Ndiyo maana nahitaji mmoja tu ili nipate mbegu.

Kama uko naye tuwasiliane hapa au PM kwa namba za simu. Pia kama upo Arusha na maeneo ya jirani ni vizuri zaidi japo siyo lazima.

Ukieleza bei yako mi vizuri zaidi.
 
upo apa mjini au mkoani mkuu,bei ya hao wa miezi 4 ni shilingi 27000,wa mwezi mmoja 7000 nauza kuanzia 10 kwenda juu
Asante, sihitaji wengi hivyo. Wawili tu wananitosha, ninao kanga wengi tu ila weupe waliisha. Nataka kurudisha mbegu yao. Niko Arusha.
 
Back
Top Bottom