~ Kanga zina Mambo Mengi ~

Hapa kazi ipo.... Mwanakijiji mambo mashallah naona.
 
<br />
<br /
M.M.mwanakijiji,naona unatunza vya nyumbani,ni kwel kabsa,kanga inaladha yake,mama wangu watoto anapoivaa moja hua najua ucku kutakua na international match btn ManU na Barca.
 
Khanga moko ndembendembe. Mambo yote iko kila Jumatano pale hotel Continental bana.

Wenyewe wanakwambia laki si pesa! Teh teh teh
 
Kanga raha yake bwana, ikifungwa mabegani,
Na tena inavutia, ikikazwa viunoni,
Na inaleta hamasa, ivaliwapo chumbani,
Kanga ina maajabu, hasa kwa walo penzini

naunga mkono hoja mia kwa mia
 
Mzee mwanakijiji, naomba ufafanuzi
majibu nayahitaji, niyafanye maamuzi
ninaomba nikuhoji, nisijefanya ajizi
Kanga unayoisema, ni ndege au ni nguo?

Mimi nawafuga kanga, ni kitoweo kizuri
ukila wa kukaanga, watamu kama asali
watalaamu wa kuunga, hili watalikubali
kanga unayemsema, ni ndege au ni nguo?
 

Kanga afugwae baba hawezi ishi chumbani..
Hata kwa yake manyoya hawezi kausha maji..
Kanga aisifiayo ni ile ionayo mwili...
Hata ukiwa bafuni ruksa kukuchingulia!
 

d! Kumbe kanga inavutia kiasi hiki,mbona sasa wengine wanavaa jeans chumban?
 
Mzee Mwanakijiji hujapitapita kinondoni-mkwajuni...huwa hawavai hivyo.
besides when they are closing the road is very fun movie watching.

also i wonder why so called fashionalist are blind in this style.
 
Kanga inaniuwa, kifo cha mende jamani
Kanga yanizuzuwa, hata njia siioni
Kanga iliyovaliwa, mimi huku hamkani
Kanga ilobenuliwa, akh! hivi naitwa nani?

Kanga yanipagawisha, yanikosesha amani
Kanga wakijivalisha , napayukwa hadharani
Kanga yanipa mkesha, akivaa wa pembeni
Kanga inavyonikosha, naweza honga milioni

Kanga ya kifuani , pumzi nusu hupotea
Kanga ya kiunoni, huishia kuzimia
Kanga hizi si utani, asifiwe alovumbua
Kanga akiwa chumbani, burudani yatulia.

By Klorokwini a.k.a kibaka mzoefu
 


weweweeeee! kumbe Kidonge hiki chaweza kuwa kitamuuuuu
 
mwanaume akivaa khanga asubuhi anamaanisha amepiga bao usiku
 
wengine Upande wa kanga hauwatoshi watungie kitenge basi MM
 
Kwa watu wa pwani, khanga ni culatral expressions and it deliver important messages....

Utawakuta wanawake wamekaa kisimani/bombani na wamevaliana kanga zenye maneno kama;

1) huniwezi wewe
2) mama Mkwe hasidi
3) mambo iko huku
4) mlaji kala leo mla jana kala nini

na mengine mengi tu. Kwa watu wa pwani, khanga ni instrument muhimu kwa mipasho!
 
Mi hunioni ehhhhhh?!


Mpenzi nimekuona... yule mrembo wa Mwanakjkj alinitia hamasa ya kusoma tu pale.... saizi nimeona

BRAVO!!! Very good teacher i have...
 

Umenifurahisha sana wafa kuwa mama mkwe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…