Uchaguzi 2020 Kangi Lugola achukua fomu za ubunge jimbo la Mwibara kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Kangi Lugola achukua fomu za ubunge jimbo la Mwibara kupitia CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM.

=======

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Mwibara.

1594813516178.png


Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom