kaniacha wakati bado nampenda

neyl

Senior Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
127
Reaction score
19
habari! jaman wanandugu mie nilikuwa na boyfrnd wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao na mwakan ilikuwa tufunge ndoa, sasa kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana later nikamwomba msamaha akasamehe 2kawa happy siku moja usiku alnitxt akiniambia how much anafuraha coz anauhakika mimi ninampenda, kesho yake akaninunia hapokei simu wala sms mwisho akanipa kibut akidai hakunisamehe kosa lile la kumjib vbaya, nampenda sana sana naomba ushauri
 
Either hamkupendana kwa pamoja au mmoja hakumpenda mwenzake,inabidi uwe mtu wa imani na umwambie ni jinsi gani wamuhitaji bila kujali mara ngapi unamwambia hilo.M2 yeyote mwelewa anapomwelewa mwenzake hubadilika,jitengenezee mazingra ya kujshusha hata mara milioni.Ukileta jeur,ujuaji penzi halitakuwepo kamwe! I told you!
 
Akili za mbayuwayu,changanya na zako..source jk.
 
nazani umepata fundisho-inawezekana nae bado anakupenda,ila akikumbuka maneno uliyompa,anaona bora ajitoe tu
next time,kuwa makini na matamshi
 
Inawezekana ulitukana/kuongea maneno ya kukera sana, baadhi ya wanaume wako sensitive sana na kila unachoongea hasa unapokuwa umekasirishwa ama na yeye ama mazingira. Yote kwa yote, bado una nafasi ya kuongea naye tu, haiishii tu kusema sawa nimesamehe na wewe ukaita matarumbeta. Kuna baadhi ya vitu ulipaswa na unapswa ufanye, moja ni kutafuta mazingira tofauti na mliyozoea na kwenda kuongea (na huo msamaha wako ukiwemo)
 


Mtafute ukamuombe tena samahani, ikibidi hata kwao nenda ukatubu kwa makosa yako na uombe msaada wa kuombewa samahani ili usamehewe. Kila la heri na pia ujifunze kuepuka majibu mabaya maana athari yake ni kubwa sana.
 
Tatizo ambalo wasichana weng linawasumbua ni WAO KUJIONA BAB'KUBWA,unapojtengenezea mazngra ya kujiona bab'kubwa either kutokana na sbb flan flan ulizonazo ie uzur wa sura,umbo,elimu nzur,kazi ya kukutosheleza waweza poteza mpenzio hivi hivi.Msijione wajuaji akina dada,kwenye kutengeneza family mwanamke LAZIMA AMTII MWANAUME in any how!
 
ulimsukumia chura kwenye maji.
Ongeza na zako sasa
 
Hata ningekuwa mimi nisingeweza kukuvumilia kama una matusi! Sipendi mwanamke wa dizain yako, na hilo ndo fundisho ukimpata mwingine kaa utulie....mkiwa na ugomvi usipende kushindana! ...bora ujiondokee zako hadi hasira zipungue then ndo mu reconcile.
Acheni lugha chafu za kuzalilisha muwapo kwenye relationship! Hapo ndo mtadumu.
 
mh, hapo alikuwa anakutaftia sababu! mlikuwa mmeshapanga ndoa na umemuudhi tu akakubwaga? stuka!
 
kashasonga na maisha yake na wewe songa,usikae kny r'ship kwa wasiwasi utaachwa saa yeyote,sio nzuri kwa afya yako......nimeisoma mada ya mtambuzi kwa makini nakushauri na wewe kaisome usijiingize kaburini mapema buree,umeachwa,,,accept,,,,MOVE ON.
 
ebwana weee...kumbe ni kweli kuwa true character ujitokeza wakati wa majibizano...aibu!!! sasa mwana mzigo kala na sasa ndio anasepa kilaini.....
 
mh, hapo alikuwa anakutaftia sababu! mlikuwa mmeshapanga ndoa na umemuudhi tu akakubwaga? stuka!

Hilo nalo nenoo.....maana akufukuzaye hakwambii toka!..au ndo anatingisha kiberiti..
 
mh, hapo alikuwa anakutaftia sababu! mlikuwa mmeshapanga ndoa na umemuudhi tu akakubwaga? stuka!


Mkuu King'asti kuna majibu mengine yanaudhi sana hata kama umependa kiasi gani unaweza kufikiria mara mbili mbili. Je majibu kama haya ndiyo yatakuwepo ndani ya ndoa? Je nitakuwa tayari kuyavumilia? Niendelee na hii mipango ya harusi au nibwage manyanga? Binadamu wengine wanapodhalilishwa basi uvumilivu wao ni mdogo sana. Huko aliko jamaa atakuwa anateseka sana, lakini si ajabu kishapiga moyo konde na kuamua kusonga mbele, lakini binti bado hajachelewa anaweza kufanikiwa na kusamehewa kiukweli. (kuna siku tulikorofishana nikamjibu hovyo sana)
 
alafu mie nawambie nyie wanawake muwe mwatupa mizigo bila commitment za kijinga nyie mwanaleta oh u cnt just use us...sasa ona jamaa kala mzigo na pia kakakupa false promise na siajabu ulianza tangaza kuwa utaolewa sasa uso utaficha wapi...loh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…