arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
naachunge domo lake!Asikupotezee mda hata kama unampenda wako tele wasiokua na nyodo kama zake, shosti na wewe ukimpata mwengine usiji bwage sanaaa penda aste aste.
]Wamasai wako kama wanyama waporini ktk issue za mahusiano[/COLOR].....
kiufupi ni ngumu kujamiana nao kwamambo mengi,nimesoma nimefanya kazi na kuishi nao.Mkuu, hebu fafanua kabla sijakasirika kwa ninaba ya wamaasai!