Kaniahidi upendo anafunga ndoa leo

upuuuzi mtupu.

Hapo kuna mawili..
1. Alikuja kugundua kuwa wewe si wife material
2. Huyo jamaa anaoa kwa shinikizo..hii inategemea limetoka wapi.. Yaweza kuwa keshampa ujauzito,au walezi,au hata dada huyo alimng'ang'aniza..!
 
Ukisoma heading yako,majibu uliyokuwa ukiwajibu watu waliochangia thread yako na ukioanisha na jina lako pschologically inaonesha unamatatizo kichwani na una kazi ya kufanya.
 
inawezekana wewe ndo uanyempenda-yeye yupo na anayempenda-kama unasema mapenzi yenu yapo motomoto,unakosea-mapenzi yako kwake ndo yapo motomoto,yeye hana time na wewe-MONO AMA-tafuta mtu mwingine lasivyo utajikuta kweye ugomvi na mke wa huyo mr-
yeye kuja kwako anakuja zuga tu
 
Kama hajamulewa Mgombezi nahisi ana mtindio wa ubongo. Mume wa mtu sumu na laana! Ebu tafuta wako haraka na wewe uolewe.
 

Jitayarishena nyongeza atakayoipata kwa Bi Arusi kwani vijana wa sasa ni waelewa wa mitindo!
 

Ndoa ni baraka, ndoa ni heshima, ndoa ni dalili ya kukua kiakili na kimwili. Mimi naona wewe bado hujakua na haupo tayari kwa ndoa hivyo huna sababu ya kuumia wala kuchanganyikiwa.

Wewe mpe tu jamaa hiyo kitu achapeee kwa raha zake, and the truth is that hutakuja uolewe tena maishani mwako na hata ukiolewa ndoa yako haitoweza dumu my dear! chukia usichukie ukweli ndio huo!
 
Ulimpa ushauri kaufuata sasa kinachokuuma nini?

Lizzy MAMBO!
Lizzy tafadhali msaidie huyu, kwani inaonekana ana matatizo mengi sana ya kisaikolojia. Huyu Manka ukiangalia posts zake utagundua kwamba ana matatizo makubwa sana katika mambo yahusuyo mahusiano. Hivyo, siyo mtu wa kupuuzwa wala kubezwa, kwani ana hatari kubwa sana mbeleni na ukizingatia kwamba tayari ana mtoto.

Lizzy, naomba umsaidie kimawazo huyu for the sake of her future and baby.
 
Beware what you wish for junior! It might be granted.
 
Ushauri nilishatoa.
Sio yeye anaempemda huyo bwana, wala bwana anaempenda yeye hivyo asonge mbele.
 
Kabila
gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz
aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna
amani
Simple,mwambie huwezi kuendelea nae aiheshimu ndoa yake kisha wewe msahau u-move on.
 
Inataka moyo wa mwendawazimu kuleta matatizo binafsi kwa ajiri ya kupata ushauri JF.
 
Inataka moyo wa mwendawazimu kuleta matatizo binafsi kwa ajiri ya kupata ushauri JF.

me ndo maana nasemaga hawa ni watoto wadogo,nyege,usharobaro na usista duu unawasumbua.Wakishashiba ubwabwa na maharage kwa mama zao zen wakienda kunywa bia kwa pesa zao za helsb au kunyeshwa na mahawara zao basi taaaabu kweli kweli.Kuna mmoja wa ajabu sana ashawahi kuja na hoja kuwa wanaume wa dar hawana nguvu za kiume,wanatumia vifaa vya kuongeza maumbile,baadae huyo huyo akaja na nyingne eti anajutia kusagana na wifi yake,kesho mtu kama huyu usishangae akaja tena akaomba ushauri kuwa anahitaji kutembea na baba yake au kaka yake.Few can speak a productive cases hapa ila majority huruma tupu!
 
Kabila gan hilo tena..me sihitaj kuolewa nae cz nlishakataa nafikiria mapenz aliyonayo kwangu in hali akiwa kwenye ndoa ndo cjui nifanyeje na cna amani

Unajua mimi hata sielewi unalalamika nini hapa binti??!!!...........Uamuzi ni wa kwako, kukubali kuvuruga ndoa ya watu au kukataa. Sidhani kama ukimwambia, maadam umeoa mimi na wewe basi....atakulazimisha. Ushauri wangu, usivuruge nyumba ya watu.
 
​mnh huyo mwanaume 'keshakusoma' huna msimamo ndio maana anakupangia mahesabu kabisaaa ya kuendelea 'kukutumia'.....................usijidanganye eti ana mapenzi na wewe sijui unampenda......angekupenda asingeoa mwingine,period...na wewe ungempenda cloud ya uncertanities isingekuwa inahang kwako mpk kumwambia muachane....................mlikuwa pamoja because it was convenient kuwa pamoja ila sio love iliowafanya muwe pamoja.............mamiii cha kufanya sasa hivi...futa number yake....badilisha njia zitakazokufanya muonane,jikeep busy ili umsahau na kisha anza kujichanganya na mashosti wakupe 'company' kipindi hiki cha transition...and lastly anza kusocialize kwa kwenda out and meet different people...utapata tu mtu/mpenzi mwingine...atakayekusahaulisha huyo bazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…