Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
422
Reaction score
444
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄

Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo?

Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu🙌. Sasa haka katoto kamenichimba biti, kwamba baada ya mfungo huu mtukufu yeye hatokuja nyumbani na kuonana ni majariwa, hivi nikasaidiaje wapendwa?
 
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndo kweli ananiacha hivi hivi au ????🙄

Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo sio????
Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu.🙌
Sasa haka katoto kamenichimba biti , kwamba baada ya mfungo huu mtukufu yeye hatokuja nyumbani na kuonana ni majariwa ,hivi nikasaidiaje wapendwa ??
Kaambie safari njema.
 
Kwan ulichokuwa unakipata kwake uwezi pata Kwa mwingine mkuu..
 
Ujinga wa kiwango cha Lami, mwanamke anakataa Leo kesho anaileta, Mwanamke atabiriki kaka.
Mpe mda ataileta Utachapa Tena bila shida.
 
MAOMBI YA KAZI/AJIRA/KIBARUA.
halizenu .
Kwamajina naitwa saiid omari ngulupi nimkazi wa chamzi. nina miaaka 25 nina uzoefu wa udeleva miaaka 3 galy ambazo nina uzoefu nazo .plaivety ya aina yeyote yani gali ndogo
Pia gal I za mizigo kuanzia tani 1 hadi 20

Pia ninzuzofu wa ufundi magali kwamiaka 4 .kati ya iyo minne mwaka mmoja nimesoma chuo cha maendeleo ya wanchi mtwala .ni kijana mtiifu na mchapakazi .ombi kwa yeyote anee itaji deleva .nambazangu ni .0698899886
0692509664
 
Shida yawo wanawaza hela sana yaani ukikapa misingi ya kiume kanaona nakabana
 
ukisikia Kauli mwanamke anakuambia" We mwanaume Wala auko Romantic" Jua ameshindwa kukutumia kimkakati kama alivyokua amepanga, maana yake umeweza kukwepa mitego yake.
Wewe ndo umenusa maneno anayo niambiaga 👊😂🤣
Mimi siwezi kuwa romantic kwenye pesa zangu zinapokuwa rehani ✋
 
Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄

Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo?

Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu🙌. Sasa haka katoto kamenichimba biti, kwamba baada ya mfungo huu mtukufu yeye hatokuja nyumbani na kuonana ni majariwa, hivi nikasaidiaje wapendwa?
Jisaidie mwenyewe, Hana shida ya msaada wako.
 
tafuta mnayendana kiitikadi kwanini ujiingize kwenye mitanziko isiyo ya lazima.
 
Hivi unaweza pata mtu mtandaoni mkadumu naye sio???🙄
 
Kaka kwa umri wangu , familia niliyotoka na elimu yangu itoshe kusema nipo mbali kidogo kiuchumi kaka 😂 Nahisi pato langu la Mwaka ni ×2 ya Mzazi wake .
So yeye aende tu jamani huenda sio riziki
 
Back
Top Bottom