Kaambie safari njema.Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndo kweli ananiacha hivi hivi au ????π
Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo sio????
Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu.π
Sasa haka katoto kamenichimba biti , kwamba baada ya mfungo huu mtukufu yeye hatokuja nyumbani na kuonana ni majariwa ,hivi nikasaidiaje wapendwa ??
ukisikia Kauli mwanamke anakuambia" We mwanaume Wala auko Romantic" Jua ameshindwa kukutumia kimkakati kama alivyokua amepanga, maana yake umeweza kukwepa mitego yake.Shida yawo wanawaza hela sana yaani ukikapa misingi ya kiume kanaona nakabana
Wewe ndo umenusa maneno anayo niambiaga πππ€£ukisikia Kauli mwanamke anakuambia" We mwanaume Wala auko Romantic" Jua ameshindwa kukutumia kimkakati kama alivyokua amepanga, maana yake umeweza kukwepa mitego yake.
Jisaidie mwenyewe, Hana shida ya msaada wako.Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?π
Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo?
Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tuπ. Sasa haka katoto kamenichimba biti, kwamba baada ya mfungo huu mtukufu yeye hatokuja nyumbani na kuonana ni majariwa, hivi nikasaidiaje wapendwa?