Kaniambia huwa anaenda kunyoosha mbavu

Hahahaaa huyo ana kusmas sio sauti. Unampenda kwanza mtu kisha unavutiwa na vitu vyake. Huyo huyo anaweza kukuchefua ukisikia sauti yake unatapika
Ni kweli ana sauti nzuri sana halaf anajuwa kiswahili vyema ,kuna maneno huongea ananichekesha kweli,,na ni mzuri haswa sema siwezi rusha pic yake huku ndugu zake wataona halaf mtoto wa mwisho,,kiukweli mvuto ana 97 wengi humu hamumfikii na vipara vyenu
 


Ujue hata mimi kuna mtu hawaambiwi hawasikii kwangu. ..mapenzi chombo cha moto rafiki, yanahitaji leseni
 
Mama Sabrina niombe radhi au humu mtachimbika sasa hivi.
 
Ulifaa,unafaa na utazid kufaa Mke bora
 
Hahaha Unadhani kila mmoja anakipara kama mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…