Kanichunia baada ya kumwambia namuhitaji awe mpenzi wangu.....

Umetongoza mno siriaz. Mdada anahisi mkiwa wapenzi yatakuwa siriaz mno. Unatongoza kwa vituo kama unaomba kazi ikulu?!!!

hahaaaaa, nimeipenda hiyo- ila kutongozwa raha kweli teh teh teh.
 
You better change, utakosa wengi kwa style hii ya kindergaten...

nashukuru Da Asia, mmenifumbua macho kwakweli, lakini inakuwaje kwa anayegoma hata kukupa nafas ya kuonana naye?
 
Sasa na wewe ulitaka akujibu "sawa nimekubali" kwa SMS???au unataka akutafute ndo akupe jibu lako???mtafute uchukue majibu yako hata ANGAZA watu wanaenda wenyewe na lazma wapate majibu...................ila kama angekuwa amechukia angekuambia,amechuna amefurahia hilo mkuu,komaa mzigo umeshauchukua huo,CONFIDENCE.....ila method uliyoitumia SIYO
 

Anatafakari majibu sahihi ya kukupa. Na usitegemee ataendelea na utaratibu wa mawasiliano kama ilivyokuwa zamani kwa sababu kwa ujumbe wako huu unapendekeza mabadiliko ya hadidu za rejea za mahusiano yenu.
 

Wewe umejuaje kama ni mtu mzima inawezekana bado mtoto/mvulana. Refer thread ya Boss kuhusu tofauti kati ya Mwanaume na Mvulana.
 
Wewe umejuaje kama ni mtu mzima inawezekana bado mtoto/mvulana. Refer thread ya Boss kuhusu tofauti kati ya Mwanaume na Mvulana.

uanaume unaanzia umri gan kwani?
 
Anatafakari majibu sahihi ya kukupa. Na usitegemee ataendelea na utaratibu wa mawasiliano kama ilivyokuwa zamani kwa sababu kwa ujumbe wako huu unapendekeza mabadiliko ya hadidu za rejea za mahusiano yenu.

teh teh teh eti hadidu za rejea...lol
 

mkuu umenena,kama vp amuombe watoke,then amchane live face to face.
 
upo kwenye mzani wewe chuna na wewe uone cha moto, anakupima huyo

cku nyingne jifunze kutongoza kwa mdomo co text upo ili ujue na mud ya mtu
 
Pole,vp matokeo kaka!j2 inazidi kuisha au mtaonana nite muongee
 
Mimi bado mgeni humu JF napita 2 kuwajulia hali, ila nyie ni noma aisee!
 
pole mkuu! weulitegemea atakuwa hana mtu? anyway usibadilike sasa wewe endeleza urafiki wenu kama kawa! usioneshe kumchunia! ila pole!

mkuu hili nililitegemea, tena sijashangaa ila angesema hana mtu ndo ningeshangaa>>kuwahiwa nako mh, eti anadai kwanini sikumwambia miaka yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…