Uongo katika mapenzi ni vitu ambavo haviepukiki for tunajifunza about our lovers sometimes thrue lying.... Ila tu huo uongo usiwe ni wa kumuumiza mpenzi wako na wala usiwe ni wa kudumu... in the sense vitu vya kudanganya ni vile ambavo sio msingi saaana katika mahusiano - in other words yaani hata mwenzio hakitambua haiwezi kumuumiza. Naamini ukimpenda saana mpenzi wako hutaki aumie, hivo hutufanya sometimes kumuepusha hayo machungu udanganye walau ili tu awe na hali nzuri emotionally hasa kama unafahamu kua ni dhaifu...
Tukija katika suala lako... kama mkeo alikudanganya mara ya kwanza na saizi kaamua kukwambia ukweli - ni dhahiri kua alikua hana nia mbaya kama alivo jieleza... Mistake alofanya ni kukuambia kua alikudanganya it is better angekuambia kua sasa ndio umepanda. She seems to be a good wife labda tu anapima kua nguvu ya mumewe inafikia wapi hasa katika challenges.... Na kwa kweli in most cases uki lie kwa mpenzi wako inakua ni kwa nia nzuri - ili mradi huo uongo usizidi kipimo wala sio wa kuumiza.
Naweza onekana kama nafagilia uongo but trust me kuna situations you can just no tell the truth to your loved ones thou msingi mkubwa wa mahusiano ni Trust. Na ndio maana kama your love ones ana demand ukweli wa kitu ambacho kiko critical na haitajiki udanganye... it is beta kupotezea kuliko kudanganya - hapo unaharibu kila kitu!