''Kanidanganya kwa nia nzuri''

<br />
<br />
Inapobidi inabidi ubidi! Kudanganya kwa lengo zuri kupo na wengi tu huwa tunafanya hivyo. Kwa mfano huyo wako mi sidhani kama amefanya kosa labda kama angeamua kuuchuna hadi pale we mwenyewe utakapogundua, hiyo ndo ingekuwa mbaya.
 
Asa asingekudanganya, angejengaje kwao? chezea mchaga wewe.
 
Kama unadanganya huwezi kuwa na nia nzuri.
 
kwa mm navyoona ni kwel umepanda, but kaja kugundua its not must kwa ww kujua koz no mata wot! utabaki kua kidume na wewe pesa yako ndo itatumika kuendesha nyumba, we piga chini maisha yanaenda..............
 
Uongo ni uongo, wote una nia mbaya. hakuna uongo wenye nia nzuri
 
Unapoamua kudanganya........nia nzuri haipo.
 
PT, kikubwa mwisho wa siku mna Amani na mkeo.....
Kweli alikudanganya kwa nia nzuri.... ingekuwa otherwise saiv tungekuwa tunajadili mengine hapa!
Kama alivyosema Asha D..... una mke mwema mkuu,
Sasa usionyeshe wenge coz next time akidanganya hatakwambia kuwa kadanganya!
 
Nimeipenda hiyo nyekundu, kwani Gaga mumeo ana wallet ngapi lol?
 
Ahsante JG nashukuru kwa ushauri..
 
kwa mm navyoona ni kwel umepanda, but kaja kugundua its not must kwa ww kujua koz no mata wot! utabaki kua kidume na wewe pesa yako ndo itatumika kuendesha nyumba, we piga chini maisha yanaenda..............
Nimeipenda mkuu..
 
Mke wangu sio mchaga kaka ni msukuma, ahsante
 
Nimekusoma AD..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…