Kanigeuka kwamba nimembaka

Kanigeuka kwamba nimembaka

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Huyu dada kaja huku ninakoishi, akaja hadi gesti, tukafanya yetu, wakati anaondoka hatukuwa na mawasiliano mazuri kwasababu ya mkwanja.

Baadae jioni nikapigiwa simu kituo jirani kwamba nahitajiwa kituon nimembaka, huyu dada ni above 18, mimi ni mtumishi wa Umma.

Ninafanyaje hapa wadau!
 
kwani alitaka tsh ngapi...???Sasa kuzima soo utawalipa na police si ndo ulivotaka..
 
Hakuna mtu atakupa msaada sahihi kwa hayo maelezo uliotoa.!!
 
Maswali machache kwako mleta mada;

1. Huyo ni mpenzi wako au alikuwa anakuuzia mwili wake?
2. Kama ni mpenzi wako swala la malipo kidogo linatoka wapi?
3. Umesema huyo binti amekuja mpaka unapoishi, kwa nini mmekwenda guest? Wewe unaishi mtaani?

Kama anasema umembaka, labda akupotezee muda tu hapo polisi lakini huko mahakamani itakuwa shida kuprove kwamba ulimbaka na hasa katika mazingira kwamba technologia yetu bado ni duni hata kupima manii kama zimetoka kwako ni issue. Wapotezee hao polisi wakitaka wakufuate wao huko ulipo.

Tiba
 
Maswali machache kwako mleta mada;

1. Huyo ni mpenzi wako au alikuwa anakuuzia mwili wake?
2. Kama ni mpenzi wako swala la malipo kidogo linatoka wapi?
3. Umesema huyo binti amekuja mpaka unapoishi, kwa nini mmekwenda guest? Wewe unaishi mtaani?

Kama anasema umembaka, labda akupotezee muda tu hapo polisi lakini huko mahakamani itakuwa shida kuprove kwamba ulimbaka na hasa katika mazingira kwamba technologia yetu bado ni duni hata kupima manii kama zimetoka kwako ni issue. Wapotezee hao polisi wakitaka wakufuate wao huko ulipo.

Tiba

1: tulizoeana akawa amenikubali kimapenzi muda mrefu leo ndio kaja.
2. Anaishi mbali,
alipokuja mm nna mpenzi wangu huku, so nnlimwelekeza gest nnliyopo akaja
3.baada ya shughuli ndo nimeshangaa ananing'ang'ania kuw nimpe hela zaid kuanzia ya chakul, usafiri, na usumbufu na n pesa hasa,
wkt kbl hjj nlimweleza hali yangu ya kiuchumi sio nzuri na hivyo ajigharamie nauli, n akawa amejigharamia.
 
1. Mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 ni mtu mzima
2. Kubaka ni kitendo cha kufanya mapenzi bila ridhaa ya mwingine,kitendo cha kuja nyumbani,guest house kinaonyesha ridhaa
3. Lazima adhibitishe kwamba uliishamwingilia,hivyo tukio linatakiwa lithibitishwe kuripotiwa Polisi na cheti cha Daktari kwamba kulikuwa na 'penetration' ndani ya uke

Potezea mkaonane mahakamani.

Joshua
 
Utakula mvua thelasini, chezea pesa tundu la choo. Kubaka sio lazima kuvunja bikira. Kaa lada
 
Sasa umemwambia una wako halafu hukutaka kumpa aliyotaka, kwanza kwanini haukumalizia haja yako kqa mpenzi wako ili usiingie matatizo ya kutaka vya bure vya watu.

Mlipe kakope au atakuharibia kqa mpenzi wako kama bado hajui ulitenda hayo.
 
130.-(l) It is an offence for a male person to rape a girl or a (2) . A male person commits the offence of, rape if he has sexual intercourse with a girl or woman under circumstances falling, under any of the following' descriptions: ... (a) not, being his wife, or being his wife who is separated from him Without her consenting to it at the time of the sexual intercourse; ... (b). with her consent where, the consent has been -obtained by the, use of force threats or intimidation or by putting her in. fear. of death or of hurt while she is in unlawful detention. c) with her consent when her consent has bee i ... at a time 'when she was of unsound state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the, man or by some I other person unless proved that there was prior con sent between the two; (d) with her consent when the. man knows that be, is. not her husband, and that her consent is given. because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawful married; (e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man. (3) Whoever(a) being a person in a position of authority, takes advantage of his official position, and commits rape on a girl or woman in his official relationship or wrongfully restrains and commits rape on the girl or woman; (b) being on the management or on the staff of a remand home or other place of custody, established by or under law, or of a women's or children's institution, takes advantage of his position and commits rape on any woman inmate of the remand home, place of custody or institution; (c) 'being on the management or staff of a hospital, takes advantage of his position and commits rape on a girl or woman; (d) being a traditional healer, takes advantage of his pos, ition and commits rape on a girl or woman who is his client for healing purposes; (e) being a religious leader takes advantage of his position and commits rape on a girl or woman, is liable to imprisonment for a term prescribed under subsec... tion (1);of section 131''. (4) For the purposes of proving the offence of rape,(a) penetration however, slight is sufficient to constitute I the sexual intercourse necessary to the offence; and (b) evidence, of resistance such as physical, injuries to the body is not necessary to prove that sexual intercourse took place without consent
 
wengi waliokujibu ndg mdau ni watu wasiokuwa na ufahamu mkubwa wa kisheria, au wamezoea zoea kuhonga tu ndio maana wanashauri sana uwalipe hao jamaa "upotezee", kwa hali hii ya kupotezea hivo rushwa hii itaacha kuwa sugu? soma hicho kifungu hapo juu cha kaka Makene, ndio jibu at least unalohitaji, kama ana miaka 18 na ameweza kutembea mpaka hapo guest mwenyewe bila kuwa na alama za kuburuzwa au kupigwa, nenda kamfungulie kesi ya madai umtie adabu kwa kukuchafulia jina.
 
Hizo meseji za mawasiliano si unazo, waonyeshe ushahidi wa jinsi mlivyokua mkiwasiliana. Kwani alikuja kingivu au kaja mwenyewe kwa miguu yako. Yaani wanataka wapate vyote wao: starehe wapewe wao, chakula, pesa na kila kitu wapate wao, halafu wanaume ni loser tu kila siku
 
Back
Top Bottom