Kijana flani hivi wakiume mpenda sifa ,anayependa maisha mazuri alafu hapendi kufanya kazi.
Kwa kumalizia a.k.a conclusion:Ni mwanaume wa Dar![emoji53][emoji53][emoji53]Kwakuongezea
Ni mtu asie na uhalisia(unaishi maisha ya maigizo)
hahaaaKwa kumalizia a.k.a conclusion:Ni mwanaume wa Dar![emoji53][emoji53][emoji53]
Nimeelewa mkuu, ubarikiweHAHAA HUYOOO MOTHER KWANZA HAJATULIA KUNA ANACHO KITAFUTA TOKA KWAKO MKUU ...MAAANA YAONYESHA ANATKA UMCHUKULIE KAMA MSHIKAJI TU TENA IKIBIDI HATA STORY ZENU MTAKAZO KUWA MNAPIGA ZIWE NI ZILE ZA DIRT TALKING"""
SASA NGOJA NIENDE KWENYE MAANA HALISI YA KWENYE NENO CHECK BOB"" NIMSEMO UNAOLETA MANTIK YA MISAMIATI SAWA KAMA""" BISHOO""MTANASHATI""TOZI" BROTHER MAN" NA MISEMO YOTE ILE AMBAYO INABEBA WASIFU WAKIJANA MWENYE SIFA ZA KWENDA NA WAKATI (MTOTO WA MJINI)
asanteNimeelewa mkuu, ubarikiwe
Tuachie wabebiz wetu wa dar.Kwa kumalizia a.k.a conclusion:Ni mwanaume wa Dar![emoji53][emoji53][emoji53]