Tripp
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 898
- 1,545
Habarini,
Mwezi huu mwanzoni nilienda msibani Singida nikiwa uko nikamaliza kuzika kuna mdada nilikuwa naishi nae Dar akaenda Morogoro kwake kuishi na kutafuta maisha basi ikapita muda mpaka mwezi huu akaniomba niende kwake Moro na tulikuwa na mawasiliano mazuri tangu aondoke Dar sababu alienda kutafuta maisha.
Basi nilivyozika nikapanda basi kuelekea Moro nikafika nikapanda kwenda Kilombero nikafika nikapokelewa vizuri ila kuanzia usiku akabadiliki haongei wala nini analala uchi hata mchana ila hataki nimguse nikawa natoa hela za chakula ila sipewi chochote zaidi ya msosi siku ya 4 nikaaga nikaondoka zangu mpaka sasa sielewi.