Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Huyu mpenzi wangu sijui ana shida gani? Yuko na kazi zake kapanga mahala flani hivi. Kuanzia tuanze mahusiano ni mara chache tu ndio yeye huja kulala kwangu ila mara zote anataka mimi ndio nitoke niende kulala kwake.
Majuzi nilikuwa nae kwake, juzi pia nililala kwake, usiku wa kuamkia leo alitaka pia niende nikalale kwake nikamgomea na kumwambia kama vipi yeye aje kulala kwangu kanimaindi. Anasema eti simpendi kweli.
Asubuhi hii ameamka kajinunisha, nimemtext hakunijibu, nimempigia simu hakupokea nimepita ofisini kwake nimempa hi tu na kusepa zangu. Sa hivi anaanza nisumbua eti nitarudi saa ngapi amenimisi kweliiii.
Kwelii jamani kwa style hii tutafika mahala.
Cc Zero IQ