Kanikasirikia kisa sijaenda nae Harusini

ukiona hivyo ujue wife first..lol
zamu yako itafika tu...subra lol

Akuuuu!!!! mimi ninaye my Eiyer. Kwani wewe umefikiri ahadi gani?

Mimi nilimaanisha ahadi ya kunifuta kabisa moyoni mwako, ili niishi kwa Amani na my nyu lavu!
 
Last edited by a moderator:
Akuuuu!!!! mimi ninaye my Eiyer. Kwani wewe umefikiri ahadi gani?

Mimi nilimaanisha ahadi ya kunifuta kabisa moyoni mwako, ili niishi kwa Amani na my nyu lavu!

ha ha haaa
you should try 'acting career'...lol
na huyu Eiyer huyu....nasubiri siku utakayom bwaga chini like hot potato lol
 
BT
Ni nini sasa hii???
Binamu yake anashiriki Miss Dar City Centre leo, so nimemruhusu aende huko akampe support, HATAKI!!!

Hataki kwenda kwa maMISS au popote coz you are not there. Kwake wapi mnaenda si muhimu, muhimu ni kuwa anakwenda na wewe!

Kaka, unaona watu wanavyolalamikia lack au enadequency ya mapenzi humu ndani. Wewe unayo yakutosha possibly ya kuzidi n you don't appreciate!

Ukiendelea hivi utampoteza na kuna siku utamkumbuka. Don't take her for granted!
 
ha ha haaa
you should try 'acting career'...lol
na huyu Eiyer huyu....nasubiri siku utakayom bwaga chini like hot potato lol

Nyie ndio mnabiharibia ili anibwage, lucky for me ananipenda na kunitrust. Mshindwe!

Kwanza leo, nimempikia bonge la pilau na firigisi, katika kumwagilia na kupalilia penzi tu! LOL
 
ha ha haaa
you should try 'acting career'...lol
na huyu Eiyer huyu....nasubiri siku utakayom bwaga chini like hot potato lol

Dua la kuku hilo kijana,utakaa sana!
 
Hapo juu umesema anapenda kuzoeana na staff wenzako na anaomba ruhusa kuja kushinda ofsn kwako, kitu ambacho hukioendi, wasijezoeana isijeleta umbea, then unasema hajawazoea anashinda na simu....

Which is which?

Na hata kama anashinda na simu inakuumiza nini?
Atawazoeaje na kuzoea 'utani' wenu kama asipowajua na kuwazoea?
Kuchukua meza komo si sababu......

Huwezi kutokana na watu wasemavyo....unaishi vile upendavyo.... Mtu wa muhimu kwako ni 'staff' wenzio au mchumba wako? Ukishajua nani ana umuhimu kati yao then utajua la kufanya........

But dah so sad Mkuu, mtu mzima hutakiwi kuyumbishwa kwa maneno ya jirani(staff)




 

The Boss said it all. Topic closed.
 
Mmeniudhi
nimeamua kutowaona kabisa
na sitawaona mwaka wote huu.

Poole we!
Some of us r very visible, vipi fagio la jana halikuwork nini? Huyo mtu wako dawa yake ni kunasana tu!
 
Nakusikitikia sana mdogo wangu,
Otherwise nakuonea huruma Pia.

Huo ni uchumba tu, sina uhakika ndani ya ndoa itakuaje. Ushauri wangu wa bure ni kua usiendekeze sana staff wenzio. Labda wao washakubuhu kwenye ndoa, pengine wameshachokana, au hao partners hawaji kwa hiari yao tu, sio kwamba WAMEACHWA, so usijifananishe nao mdogo wangu!!
 

Nilihisi utamponda mdada, kumbe na wewe umegundua kuwa kidume mwenzio kakosea eeh
 
The Boss jumapili huwa una busara!

Sir.Burn umenidisappoint, kumbe wewe bado unaishi jinsi watu wanavyotaka?

Jiweke upande wake, anaenda party wewe wataka kwenda naye halafu yeye akukatalie just because wakaka wa ofisini wanamtania. Kua basi!

uyo kashakuwa ila basi tu hataki kuamini, et mtu mzima unaogopa macho ya watu, fanya kitu roho inapenda babuuueee
 
Kaunga, kuanzia kesho naenda kwa wazazi wangu nakuachia The Boss muagane kwanza naona bado wamtamani wakati ushaolewa na Eiyer.

Poole we!
Some of us r very visible, vipi fagio la jana halikuwork nini? Huyo mtu wako dawa yake ni kunasana tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe mtu mzima bana fanya kitu unachotaka wewe na achana na hao jamaaa,mwanamke ukimfanyia hivyo kama kutoka nae sehemu kama hizo anakuwa happy sana,acha wakupe vijembe tu ila ndio hivyo wewe nenda nae popote me naona

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwambie mwaya, yaani wameniandama kweli hao. Dawa yao ni ndogo tu, tuzidishe mapenzi tu; unaonaje sweetie?

Yes ma love,mapenzi yetu ndo kikomo cha midomo yao!
 
why should you be bothered na vijembe vya ofisini? it is not their goddamn business who you come to the party with... au mkuu huwa unatoa mchango wa 'single' halafu mnazamia double?

tehe tehe tehe umewaza kweli kabisa mkuu...
 
Wadau ndio narudi now from harusini.

Ushauri wenu nlijaribu kuufuata kwa kumpigia simu ili aje but haikupokelewa.

But kama nlivyowaambia, hakuna hata mmoja aliekuja Na partner wake na story zimenoga poa tu.

Nimejaribu kuchokoza kwa kuwaulizia akina dada walipo mashemeji but mmoja alinijibu "haimuhusu" (huyo partner wake), mwingine akadakia "kwani tuko nae kazini"????

Kukikucha ntamcheki shemeji/wifi yenu kuomba msamaha zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…