Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo itafutwa mjinga yeye,Wakuu... Hv mtu akikushtaki Halafu hafiki mahakami siku za hukumu, kisheria naweza kuchukua hatua gani? Kwasababu ni kupotezeana muda tu.
Sasa hiyo hukumu si usomwe tu hata yeye bila kuwepo Mahakamani,kuna shida gani,au huyo mlalamikaji ndiyo Yuko na Jalada la kesi Nyumbani kwake!!?Wakuu... Hv mtu akikushtaki Halafu hafiki mahakami siku za hukumu, kisheria naweza kuchukua hatua gani? Kwasababu ni kupotezeana muda tu.
Kuwa mpole, hakimu atafuta, akishafuta unaweza mfungulia kesiWakuu... Hv mtu akikushtaki Halafu hafiki mahakami siku za hukumu, kisheria naweza kuchukua hatua gani? Kwasababu ni kupotezeana muda tu.
Kakushitaki kwa kosa gani?Wakuu... Hv mtu akikushtaki Halafu hafiki mahakami siku za hukumu, kisheria naweza kuchukua hatua gani? Kwasababu ni kupotezeana muda tu.
Hv inawezekana ikasomwa bila wahusika wote kuwepo? Sio wataipiga calendar hadi siku nyingne?Sasa hiyo hukumu si usomwe tu hata yeye bila kuwepo Mahakamani,kuna shida gani,au huyo mlalamikaji ndiyo Yuko na Jalada la kesi Nyumbani kwake!!?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyu mtu alipewa pesa, sasa kalipa nusu tu, iliyobaki anatamka kwa Jeuri kuwa hatailipa, Ulitokea mzozo mkubwa sana siku hioKakushitaki kwa kosa gani?
Hv inawezekana ikasomwa bila wahusika wote kuwepo? Sio wataipiga calendar hadi siku nyingne?
Yaan mpaka hapa mambo yashaanza kuyumba, badala ya kwenda kutafta pesa, mtu unaanza kureport kituoni kesi yenyew hata haielewekiUsiombe kupelekana mahakamani.
Unaweza kuharibu mipango yako mingi sana.kuna jamaa aligombana na mwenzake mkoa x wakapelekana mahakamani kesi sasa kimbembe jamaa kahamishwa kikazi inabidi siku ya kesi kutoka mkoa mwengine kuja mkoa x kusikiliza kesi.