Semanae taratibu na usisitize msimamo wako kwa upole. Inawezekana asijekuwa mpenzi wako na badala yake akawa mshauri wako au wewe ukawa mshauri wake. Hasa ktk suala la mahusiano inaonyesha ameathirika kisaikolojia. Kama hafai kuwa mwenzi anafaa kuwa rafiki na ipo siku atakufaa japo kwa mawazo. Usimtenge nakuasa Mkuu...! Huwa inatokea-ga ktk maisha hasa ya ujana.

Jambo liko wazi mwambie una mtu wako hata kama ana matatizo ya akili, ina maana tungekuwa tunawakubalia wenye matatizo kwa kuwaonea huruma si ingekuwa balaa kabisa hili

You must be crazy! una GF wako unampenda sasa unaona huruma kwa wale walioumizwa na wapenzi wao?

anapanga kumuumiza mwingine huku akiona huruma kwa aliyeumizwa.

Binadamu wa ajabu sana.

mtu umekuta tayari mtungi umeshatobolewa ukiachana naye atasema umemuumiza?aliyemuumiza ni aliye mtoboa akamuacha.isitoshe sisi wanaume tunaweza kuoa mke zaidi ya mmoja.hiyo ni riziki yake.muache ale matunda yalojileta.ingekua mimi hamna kuomba ushauri.mia

cpangi kumuumiza, lakini natafuta namna ya kumfanya huyu mwingine awe comfotable
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita,nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu. Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatzo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake. Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!

Kama alishawahi kupata matatizo ya akili una uhakika gani kuwa wakati anakupigia simu alikuwa katika akili yake ya kawaida na siyo kwamba yale matatizo yalimrudia?

Of course fanya kama babu oa wote waili ili uwe na Amani. Mzee huruma zako si njema mbele ya uso wa dunia.
mkuu sio rare kiasi hicho-mwanamke kumfata mwanaume ni jambo la kawaida sana na daily linafanyika-may be wewe hujawai kupata hizo zali ndio maana unaiona kama golden chanceNilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita, nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na kubadilishana naye namba ya cmu akanijulisha kwamba kuna m2 anahitaji kuongea na mimi hivyo amempatia namba yangu.
Alivyonipigia cm akanieleza ukweli nami nikamwambia nina mpenzi mwingine akanijibu hata kama. Nilipomuuliza rafiki yake akaniambia huyo dada yupo single na alishawahi kupata matatizo ya akili baada ya kuachwa na mpenzi wake.
Nifanyaje waungwana? Kumkatalia naogopa acje jihisi hafai duniani na ukichukulia rare in tz mwanamke kumfuata mwanaume kavu kavu!