wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakuu poleni na majukumu na harakati za kusaka tonge ili mikono iingie kinywani.
Hivi wakuu, huyu beki tatu nimfanye nini, katika harakati za mizungiko yangu nikarudi zangu home wakati nimepumzika chini ya mwembe kwenye mkeka kwa bahati mbaya nikapitiwa na usingizi, sasa wakati msosi umeiva maza akamtuma beki tatu kamwamshe kaka yako aje ale, sasa yule beki tatu kaja na mwiko akanipiga nao hadi alama ikabaki kwenye upaja.
Vipi wakuu nimfanye nini?