wanakufunza ustaarabu ongea lugha ya kiungwana ama sivyo utaendelea kuchapwaWakuu poleni na majukum.. na harakati za kusaka tonge ili mikono iingie kinywani!!
Hivi wakuu huyu beki tatu nimfanye nini!!katika harakati zaizungiko yangu nikarudi zangu home wakati nimepumzika chini ya mwembe kwenye mkeka kwa bahati mbaya nikapitiwa na usingizi!sasa wakati msosi umeiva maza akamtuma beki tatu!!kamwamshe kakayako aje ale!sasa yule beki tatu kaja na mwiko akanipiga nao hadi alama ikabaki kwenye upaja!!vp wakuu nimfanye nini!!
Wakuu poleni na majukumu na harakati za kusaka tonge ili mikono iingie kinywani.
Hivi wakuu, huyu beki tatu nimfanye nini, katika harakati za mizungiko yangu nikarudi zangu home wakati nimepumzika chini ya mwembe kwenye mkeka kwa bahati mbaya nikapitiwa na usingizi, sasa wakati msosi umeiva maza akamtuma beki tatu kamwamshe kaka yako aje ale, sasa yule beki tatu kaja na mwiko akanipiga nao hadi alama ikabaki kwenye upaja.
Vipi wakuu nimfanye nini?
Hazi#hadhi,kweli we mwanaume wa darMm hiyo kauli eti "mwanaume wa dar" mbona nyie wa mikoani mnajishusha hazi sana!!
Anakutaka huyo ingawa zikuhamasishi uwe mzinziWakuu poleni na majukumu na harakati za kusaka tonge ili mikono iingie kinywani.
Hivi wakuu, huyu beki tatu nimfanye nini, katika harakati za mizungiko yangu nikarudi zangu home wakati nimepumzika chini ya mwembe kwenye mkeka kwa bahati mbaya nikapitiwa na usingizi, sasa wakati msosi umeiva maza akamtuma beki tatu kamwamshe kaka yako aje ale, sasa yule beki tatu kaja na mwiko akanipiga nao hadi alama ikabaki kwenye upaja.
Vipi wakuu nimfanye nini?
Kwan wewe wa wapi mkuu??Haki ya mungu ni kweli kama umeotea vile maana tangu aje anakaa vibaya vibaya ule mda naenda kula anajiachiaaaa kweli