Kanipunguzia mzigo ila Sijamuelewa

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Jamani my love aliondoka bila kuniaga akarudi na kunieleza sababu za kuto aga na kuapolojaiz na kunieleza taka nyingi but nikamuelewa, mapenzi yakawa moto mara 3 nikasafiri na yeye akasafiri tuliporudi akaniambia niachane nae... Japo kanipunguzia mzigo because alikuwa dependant lakini sijamuelewa hata! Au ana mapepo? Nisaidien because alivyorudi alikuwa analia...
 
Naona umetuandikia kifb fb ngoja waje kukushauri
 
Naomba mnisaidie hiyo ni lugha gani ati.....au ndio athari za matokeo ya form foo
 
umeichosha akili yangu kwa kusoma. By the way how old are u?
 
Sa kama amekupunguzia mzgo,ushauriwe nin tena?
 
Kapata mwengine ambae anamliza zaidi ya wewe. سخ صاشف
 
Kumbe umenielewa ila tatizo ni mwandiko 2 dah makosa ya mwalimu wa msingi hayo
 
We mgumu sana kuelewa ka pemben 2 au na ww ulitaka kuonekana kama umechangiaaa. .
 
Hauko serious wewe ndio maana umeandika kimasihara!
 

sasa hapo sisi tutakusaidia nini? Labda yeye mwenyewe ndo anaweza kuwa msaada kwako kwakumuuliza atatizo na akakuambia.
 
Ndugu yangu mungu akupe nini? Umepunguziwa mzigo katika Dunia hii iliyojaa Taabu na mateso, Unataka nini tena? Kahaba limeondoka shukuru mungu!!!!
 

Jamaa una mwandiko mbaya yani nlishindwa kuelewa mwanzoni lakini all in all, kama kakupunguzia mzigo unaumiza kichwa cha nini? sit back and enjoy the ride.
 

Kijana huhitaji msaada maadamu umekiri kuwa kakupunuzia mzigo. Kwa hadhari tu kapime afya yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…