Kaniroga kwa kutumia penzi lake

Nanukuu "Tunaanguka hatiani kwa namna tofauti"[emoji2960]
 
Hahahahahaha lol! Front jinsi ulivyoandika na emojis ulizotumia Best. [emoji23][emoji23]
Ahaaaa Kumbe lol! Nikajua kweli best mzee ila mkono bado kijana [emoji23][emoji23] sasa nikawaza sijui mkono gani huo anbao bado uko fiti regardless yauzee [emoji16]
 
Reactions: BAK
Hahahahahaha lol! Mawazo yako yalishakimbilia kwenye mkono uleeeee lol! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni mkono huu ambao ni mkono wa kweli si mkono ule mwingine Best unaoleta utamu wa hali ya juu. 😜😜😜

Ahaaaa Kumbe lol! Nikajua kweli best mzee ila mkono bado kijana [emoji23][emoji23] sasa nikawaza sijui mkono gani huo anbao bado uko fiti regardless yauzee [emoji16]
 
Hahahahahaha lol! Mawazo yako yalishakimbilia kwenye mkono uleeeee lol! [emoji23][emoji23][emoji23] ni mkono huu ambao ni mkono wa kweli si mkono ule mwingine Best unaoleta utamu wa hali ya juu. [emoji12][emoji12][emoji12]
Nikataka kushangaa namna gani tena bestiii! Mtu na nguvu zake Huko kuzeeka vipi [emoji15] [emoji23]
 
Reactions: BAK
Na kweli wameachana!!! Walikuwa ni kioo cha mapenzi hapa jamvini. Chezeya kirus!!!
Kirusi cha korona ama?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Korona haijawahi muacha mtu salama!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenikumbusha jamaa mmoja humu alianzisha thread kuuliza ME kwamba wanawezaje kuwaambia wake zao maGF wao I love you wakiwa sober? Yeye kashindwa ili ngoja alewe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I love you zinamtoka hovyo hovyo tu. Mkewe hadi huwa anamfukuza nyumbani aende Bar kunywa ili akirudi mrembo apate utitiri wa I love you my beautiful wife.
🀣🀣🀣

Nikiwa nimelewa ndionajaribu...πŸ™ˆ
🀸🀸🀸🀸
 
Nakuaminia nawe Best hadi kirus kikaja kuharibu. Ukipelekewa moto unaopokewa kwa raha zote nΓ‘ sauti za kimahaba ili kuhamasisha moto zaidi huzitoa bila ajizi na macho ya kurembua juu.

Nakuaminia najua kunako shughuli huniangushi best ake nikuwapelekea motro kwakwenda mbele hahahaha..chezea front wewe!!! Safi hio [emoji106]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kirusi cha korona ama?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Korona haijawahi muacha mtu salama!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana hio!Afu nasikia watu wengi wakilewaga wanakuwaga hoooottt!!
 
Nakuaminia nawe Best hadi kirus kikaja kuharibu. Ukipelekewa moto unaopokewa kwa raha zote nΓ‘ sauti za kimahaba ili kuhamasisha moto zaidi huzitoa bila ajizi na macho ya kurembua juu.
Hihihihihihi..kirusiiiiiiiiiiiiiiiii!! [emoji23][emoji23] Ebu nilale mapema leo. Best have a good night! [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…