johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV