johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni ishara watu hawana imani na jinsi pesa zinavotumiwa na viongozi wa umma. Hakuna aliyesikitishwa ila ni kupongeza tuKanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
Kanisa lenyewe Anglican kenya hiyo imani ya kianglikana wameiomba toka uingerezaKanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
Fake news.Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
Aisesee .
Nitaenda Narobi kuabudu kanisani kwa mchungaji huyu huku nikimwombea Nzee Trumpet.Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
Mungu Wabariki WazunguKanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
These are stupid, wao wanaomba omba kwa waumini, si waanzishe miradi ya kujuhudumia?Kanisa Anglican la Africa limepongeza Uamuzi wa Rais Trump wa Marekani kulifutia Bara la Africa misaada yote
Akizungumza nchini Kenya askofu mkuu wa Anglican church amesema Omba Omba imewalemaza Kabisa Viongozi wa Africa ambao wanauza Rasilimali zao Kwa mikataba ya hasara huku wakitegemea kulisha Wananchi Wao Kwa Kodi za Wamarekani
Source: Citizen TV
Na hapo Chadema muanze kujitegemeaThese are stupid, wao wanaomba omba kwa waumini, si waanzishe miradi ya kujuhudumia?
Hawajawahi kuwa omba omba zaidi ya kujitolea kwa hiari.Na hapo Chadema muanze kujitegemea