Kanisa Anglican lampongeza Rais Trump kwa kuifutia Misaada Africa, ladai Viongozi wa Afrika wamedumaa kwa kuomba omba!

CC KKKT
CC TAG
CC EAGT
CC WOTEEE
 
Waambie na sisi tunaacha kutoa sadaka
 
Viongozi wa Afrika wamezoea kuomba omba mno kama vilema vile
 
Kweli aisee, kama "MATONYA'.
 
Trump namuunga mkono sana. Anajua akili na uroho wa viongozi wa kiafrika. Kipindi cha kwanza cha Uraisi wake, alikuwa akijifunza mambo na kusoma ramani.
Sasa kaja kutatua kero zote za nchini kwake na dunia kiujumla. Huyu ndiyo kiongozi anayetakiwa.

Watu watasema mtateseka wenyewe, bora ili sasa wananchi wawabane viongozi wao, waache anasa. Yaani hapa Trump kawauzia wananchi wenye akili kesi, mpambane wenyewe huko.

Unampa msaada mtu, saa yake tu 100m naa, nyumba mabilioni ya pesa, hata ingekuwa wewe utaendelea kumpatia msaada mtu ana mabilioni, Serikali inanunua magari ya anasa wakati ni ya kazi tu.
 
Kanisa lenyewe Anglican kenya hiyo imani ya kianglikana wameiomba toka uingereza
Dini zote ni za kuletewa, tunaojitambua kwa kuenzi imani zetu za kiafrika ni wachache sana.
 
Ni ishara watu hawana imani na jinsi pesa zinavotumiwa na viongozi wa umma. Hakuna aliyesikitishwa ila ni kupongeza tu
Kuna wengine huku ni kununua maV8, na kupitisha miswada ya kuwalipa wenzi wa viongozi wastaafu 60%ya mishahara per month. Ndo ujue viongozi wetu wanavyotumia raslimali vibaya halafu kesho yake wanatembeza bakuli kuomba misaada.
 
Kanisa lenyewe Anglican kenya hiyo imani ya kianglikana wameiomba toka uingereza
Wako sawa. Nchi ina matatizo mengi na umasikini uliokithiri
Raisi wako ananunua goli moja milion 5, timu ikifunga goli 6 ni milion 30 hapo ni mechi moja.
Ni ulevi wa madaraka, sasa huwa mnasema mchina, mrussia na waarabu ndiyo marafiki wa kweli. Ngoja tuone
 
In msekwa voice Ndiyooooooooo mtano teeeeeeenaaaa au kuna baya ndugu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…