Kanisa Katoliki laungurumisha maombi kwa ajili ya Bob Wine

Kanisa Katoliki laungurumisha maombi kwa ajili ya Bob Wine

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Umati wa waumini wa kikatoliki wamejazana kwenye misa ya kumuombea Mwanasiasa wa kizazi kipya anayeteswa na kikongwe Museveni na vikaragosi vyake.

Miongoni mwa waumini yupo Kiongozi mwenye heshima kubwa Kiiza Besigye , hii maana yake ni kwamba suala la Bobi Wine sasa amekabidhiwa roho mtakatifu .

Source : Azam tv

Mungu ibariki Uganda .
 
Ifikie kipindi lazima tukubari ukweli japo mchungu mtu mweusi au watu weusi tumeubwa kutawaliwa tu naishi South Africa vituko na viroja vya weusi wenzetu uku ni aibu najiuliza bila kuwepo mtu mweupe hapa sijui maisha yangekuwaje...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeacha kusoma historia za Afrika. Tulikuwa na wafalme mashujaa waliopambana kutetea haki za weusi.
Angola walikuwa na Malkia
Mansah Musa wa Dola ya Songhai

Hakuna vitabu viavyozungumzia watu hawa kwa watoto wetu.
Watoto wa miaka 5+ Wangekua na vitabu vya kumwelezea Nyerere, Karume, Chifu Mkwawa, Makwaia, Songea katika level ya ielewa wao
 
labda usome tna ww naomba pitia tna taratibu walichofanya machief ambao wengi wao hawakujua kusoma wala kuandika ndio kinachofanywa leo na wasomi wenye hadhi ya uprof na PhD ifikie kipindi tukubari tu ukweli japo unauma watu weusi Bongo zetu azipo Sawa tunaitaji tu kutawaliwa angalia nchi jirani mzee wetu mseven alikuwa anapiga nn na yy anafanya nn pale kati kulikuwa kuna mtani wngu alikuwa anajifanya sio mwanasiasa angalia anachofanya leo nina hakika baada miaka 10 tutakuwa zaidi ya Zimbabwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom