Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
what do you mean ?This Africa
Everybody is Criminal
Tumeacha kusoma historia za Afrika. Tulikuwa na wafalme mashujaa waliopambana kutetea haki za weusi.Ifikie kipindi lazima tukubari ukweli japo mchungu mtu mweusi au watu weusi tumeubwa kutawaliwa tu naishi South Africa vituko na viroja vya weusi wenzetu uku ni aibu najiuliza bila kuwepo mtu mweupe hapa sijui maisha yangekuwaje...
Sent using Jamii Forums mobile app
This time Museveni is goingIVI KWELI UGANDA NZIMA HAKUNA MZALENDO MMOJA KWENYE SYSTEM AMUONDOE DIKTETA HUYU!!
Sent using Jamii Forums mobile app
labda usome tna ww naomba pitia tna taratibu walichofanya machief ambao wengi wao hawakujua kusoma wala kuandika ndio kinachofanywa leo na wasomi wenye hadhi ya uprof na PhD ifikie kipindi tukubari tu ukweli japo unauma watu weusi Bongo zetu azipo Sawa tunaitaji tu kutawaliwa angalia nchi jirani mzee wetu mseven alikuwa anapiga nn na yy anafanya nn pale kati kulikuwa kuna mtani wngu alikuwa anajifanya sio mwanasiasa angalia anachofanya leo nina hakika baada miaka 10 tutakuwa zaidi ya Zimbabwe...Tumeacha kusoma historia za Afrika. Tulikuwa na wafalme mashujaa waliopambana kutetea haki za weusi.
Angola walikuwa na Malkia
Mansah Musa wa Dola ya Songhai
Hakuna vitabu viavyozungumzia watu hawa kwa watoto wetu.
Watoto wa miaka 5+ Wangekua na vitabu vya kumwelezea Nyerere, Karume, Chifu Mkwawa, Makwaia, Songea katika level ya ielewa wao
Soma sasa hiviSisi tulizuiliwa kuwasomea Albadir waliomdhuru Tundu Lissu