Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

Halafu ishu sio jamaa ni Paroko au sio Paroko kwasababu yeye ni binadamu na siku zote binadamu hajakamilika kwahiyo ishu ya kuwa Paroko au sio Paroko HAINA MASHIKO. Waliasi Malaika Mbinguni sembuse Binadamu bhana
Toeni tamko basi muelezee yote. Au kifo cha mtoto siyo kitu?
 
Ni Padri kutoka Parokia ya Rutabo. Directory ya Bukoba Diocese inaonyesha hivyo.

Sijui Wakatoliki wanataka kuikana Directory yao wenyewe? 😆🤣
 
Ndivyo mlivyo pumbazwa na viongozi wenu wa dini hao wajinga?

Yule padri aliyebaka mtoto kule moshi mnajifanya mmesahau?

Acheni ushenzi wa kutetea mapadri wenu wapumbavu.

Mnataka kuficha ukweli kwa ufafanuzi uchwara hapa.
Acha ligi za kitoto wewe padri wa mosho mbona alishafutiwa tuhuma zote
 
Anaweza kuwa sio padre kwa asilimia mia ila haimaanishi kuwa mapadre ni wasafi sana, wao pia ni wadhambi na wanaweza fanya dhambi yoyote shetani hachagui wewe ni nani au una cheo kipi kama Imani yako ni nyembamba atapita tu na wewe
Sasa kama mnajua sio perfect ni binadamu kama wengine na wanAweza tenda dhambi kwanini mnaungama kwao
 
Umeisoma vizuri hiyo sms ya pili na kuielewa au nawe unakurupuka tu?

Na mleta mada nae anataka kulazimisha iwe vile atakavyo wakati sms ya pili inajieleza vizuri tu, "mraibu aliyechukuliwa na paroko ili asaidiwe"
Haya mkuu Mraibu amesimamishwa
 
Kwisha habari yako.
Naona unafatilia hili suala kishabaiki.
Ngoja tusubiri uchunhuzo wa polisi.

Mm sijawahi padre muuaji.
Kama una ushahidi leta
Ndio maana nikakwambia wewe hata Padri akibaka mkeo au kulawiti mtoto wako bado uta mtetea paroko.

Dini zilisha pumbaza akili zenu.
 
Ndio maana nikakwambia wewe hata Padri akibaka mkeo au kulawiti mtoto wako bado uta mtetea paroko.

Dini zilisha pumbaza akili zenu.
Tusubiri uchunguzi mkuu.
Hili tukio la mtoto Asimwe ni baya kuliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…