Kanisa kujenga vyuo vikuu vitatu vipya

Usituingilie.............Mmezoea kubebwa na serikali ya ccm

Tumebebwa wapi? Toa ushahidi hapa? Sisi tunasimama kwa nguvu zetu wenyewe!! Kama kanisani sadaka ni over 10 milion kwa kanisa moja kubwa tutashindwa nini kujenga? Tunajitetemea zaidi? Hivi nyie si hata Shekhe Mkuu analipwa mshahara na ulinzi kwa serikali? Sisi wakwetu hawahitaji hayo!!! Mtajibeba!!! Nendeni mkaandamane!!! Mtabaki huko huko!!! Wakati wakristu wanapanga mipango ya maendeleo nyie mnapanga maandamano na jinsi ya kupinga serikali eti inabeba wakristu!!! Kile kiwanja mlipewa Morogoro na majengo ya Tanesco mmefanyia nini? Kile cha Chang'ombe DSM tena master plana ilionesha ni kwa ajili ya huduma za jamii leo hii mmeuza ni Warehouse Bond ya magari!!!! Una lingine!! Karibu!!
 
Kile cha kwetu pale Morogoro muda si mrefu tutakifunga maana matatizo ni makubwa, ''mfumo kristo'' umetuathiri sana!!!? kwa mfano
1/Tuna majengo lakini hatuna Wahadhiri wazuri.

2/Wanafunzi wengi hawafundishiki.

3/Wahitimu wengi hawaajiliki

4/Wanafunzi wengi wanakosa mkopo.

5/Wanafunzi wengi wamechakachua vyeti!?

6/Wanafunzi wa ''kigalatia'' nao wameanza kujichomekachomeka kisirisiri kwa majina bandia!!?
 
Usituingilie.............Mmezoea kubebwa na serikali ya ccm
Umeonaa eeeh
Halafu wanakuja kutuzuga eti Chadema ni ya wakristo ili tuichague CCM yao, kumbe ni mipango na maaskofu wao ili CCM aendelee kututawala milele kupitia ''mfumo Kristo''
Tumeshastuka sasa!!!
 
Na zile sadaka zenu na vile vibakuli mnaweka stand na vitambaa vya kuomba sadaka eti mnajenga msikiti na madrasa!!! Mnapeleka wapi? Ha ha ha ha!!! To hell!!!

Wanakula ...... Wananunulia tende na mazulia
 
ila wapunguze gharama na wao lol wamezidi wawaige saut ada zao hata sie maskini tunazimudu
 
mnapendelewaaaa.....sie mbona hatuna kipyaa?

tena cha kwetu pale morogoro hamtaki hata kuleta watoto wenu....eti kwa kuwa facult deans wote wamesomea shariah....na si elimu kuhusiana na faculty zao
 
huu udini huku JF umezidi sasa......mnapeana za uso tu. mabaniani,punjab,orthodox,mashahidi wa Jehova,wale masalia,wapagani,wa dini za kienyeji na mafreemason wametulia tuliii.....
 
utasikia changia redio Na tv Imani.
Then baada ya muda ama miaka kadhaa utasikia
Oooo wanapendelewa...... Ooooo .. Haki sawa kwa wote ..
Oooo wamejazana kwenye vitengo vyote.

Naona umepost ... Ukaona kimya... Ukawashwa ukiji quote Akaanza kuwagusa mabwana zako ili anti.Muslims wenzako wajazane ...

Sasa habari za kanisa unawaingiza waislam

What an idiot
 
Jenga chuo tusaidie wananchi kwa kuwakumbuka na ada ndogo
 
nawapenda sana wagalatia, juzi wamekojolewa biblia leo, wakakaa kimya leo wanjibu kwa vitendo wanataka kujenga vyuo ili walipiza visasi wapate elimu. safi sana
 
Naona umepost ... Ukaona kimya... Ukawashwa ukiji quote Akaanza kuwagusa mabwana zako ili anti.Muslims wenzako wajazane ...

Sasa habari za kanisa unawaingiza waislam

What an idiot

Nyie ndio mnatafuta mabwana kila siku kulia lia mnataka haki sawa , kimekuuma umeleta Ta.ko lako hapa unajiuma uma hapa. Nenda kaandamane kikwete na alhaji kova wawapige mabumu na kuwanyoa ndevu zenu hizo.
Kwanza mahakama ya kadhi mmeshapewa?
 
nawapenda sana wagalatia, juzi wamekojolewa biblia leo, wakakaa kimya leo wanjibu kwa vitendo wanataka kujenga vyuo ili walipiza visasi wapate elimu. safi sana

kama unawapenda si uwape tigo?
 
ngoja waje wenye dini zao za kuletwa na meli wagongane mapovu hapa
 
Ninyi ndugu zangu tufurahi na kupongezana kwa hatua hizi za kimaendeleo lakini si busara kutoa kejeli na dhihaka kwa wengine kwani haituongezei kitu zaidi ya kuonekana tuna ufinyu wa upeo. KEJELI,DHIHAKA na MATUSI tusivipe nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…