USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa.
Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi ikienea na polisi kuamliwa kuchunguza kwa amri ya mkuu wa wilaya misungwi .
Mchungaji huyu alikuwa na vichumba vya kulaza Hulu ikidaiwa Kuna watumishi wa afya walihusika na ishu hii