Kanisa la Anglican Tanzania latoa tamko kukataa ushoga

Kanisa la Anglican Tanzania latoa tamko kukataa ushoga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20230228-175143_Office.jpg

Screenshot_20230228-175151_Office.jpg

Kanisa la Anglikana Tanzania limetoa tamko zito kupinga msimamo wa Anglican England kuhusu ushoga na ndoa za jinsia moja.
 
Nawakemee wale wa kandaa ndoa ndo wengi wao n mashoga wanapigwa miti hatareeee 😫😫😫😫
 
Hakika Kanisa hili Tanzania halitotaka kuja kusutwa.

The precedent set by the Ugandan church has had a domino effect, a true pulmagation of the definition of 'separation of church and state.

Mfano uliowekwa na kanisa la wa Anglikana la Uganda umekuwa na athari kubwa, na, ni ufafanuzi au utangazaji wa kweli wa ufafanuzi wa 'utengano wa kanisa na serikali.

Haya pamoja na mengine tunayoyaona, ni kati ya yale, na ni matokeo ya Udhalimu wa Ufalme wa Uingereza, waliyoyaita 'Anathema' katika bunge lao karne moja iliyopita sambamba na kifo cha Malikia Elizabeth ambaye aliongoza kwa misingi ya Ubeberu na Ufalme wa kujipachika wa umungu! kufikia taamati. Mwanzo wa mwisho!

Ubeberu kwa tafsiri wowote ule, ni Uovu.

Uhuru kamili, hatahivyo utakuja pale makusanyo(tithe)ya makanisa haya hayatarudishwa ulaya, kuendekeza ubeberu wa mawazo who knows!

Naunga mkono Kanisa la Tanzania.

Amani iwafikie
 
Back
Top Bottom