Halafu hiyo EAGT Hopefully ni kifupi, weka na kirefu chake ili tujue unazungumzia nini.Habari za jioni waungwana. Nasikia kuna mgogoro unaendelea katika kanisa tajwa hapo juu.
Samahani naomba anaeweza kuwa anafahamu uzuri anielekeze kwa lengo la ufahamu tu.
migogoro huwa inatokea pale baadhi ya wachunguji kujipatia marafiki wa kuwasaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ya kijamii bila kupitia makao makuu.Sasa baadhi ya maaskofu huanza kuona hawanufaiki moja kwa moja na huanza kuhoji inakuaje misaada haipitii makao makuu.Ubinafsi ndiyo chanzo cha migogoro ya taasisi hizi za dini.Pia kutunga kanuni za kuwabana wachungaji wasipate misaada toka kwa marafiki zao wa nje moja kwa moja.Kanisa linapoanza kupata maendeleo ya kiuchumi migogoro haiachi kutokea kugombania miradi ya kiuchumi.Hapo suala la kiroho huwekwa mbaliHabari za jioni waungwana. Nasikia kuna mgogoro unaendelea katika kanisa tajwa hapo juu.
Samahani naomba anaeweza kuwa anafahamu uzuri anielekeze kwa lengo la ufahamu tu.
EAGT ni kanisa changa tangu wajitenge na ndugu zao AG (TAG).Mgogoro huu ni kitisho kwa kanisa hili kugawanyika tena endapo hapatapatikana muafaka.Kinachosumbua ni upitishwaji wa katiba yao juu ya mambo yanayoongoza kanisa hili.Kubwa ikiwa ni kanuni ya kutaka misaada yote toka nje ipotie makao makuu na si kwa wachungaji wao moja kwa moja.Wachungaji wengi hujitafutia wafadhili nje kwa juhudi zao binafsi na kujengewa huduma za kijamii kama za afya na elimu kitu ambacho itakiwa iwe inapitia makao makuu