The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Ndo anaamka 😂😂hawezi lala na Habari yuleMange atatoa kesho mkuu. Tayari ameishapenyezewa taarifa na watu wa serikali.
Hembu tuoneUnafikiri CCM ni wajinga hivyo? Thubutu!
Gwajima hajawahi kuwa muoga wala kutishiwa nyau na mtu yeyote. Ogopa mtu anayemtegemea Mungu (Gwajima) anapopambana na watu (serikali) wanaomtegemea shetani. Hiyo vita ni hatari sana kwa waabudu sanamu (serikali)....lazima wata surrender tu!Wakifungua kanisa watakua wametengeneza precedent.
Gwajima atatoa ultimatum nyingine Lissu aachiwe ndani ya siku tatu. Wakitekeleza na hilo ukiongeza na speech ya Slow x2 Leo usiku watakua wame surrender.
Kuanzia hapo Gwaji boy atawafanya kila anavyotaka.
Kwamba CCM wanaogopa atakachosema Gwajima 🤭🤭. Bado siamini.Unafikiri CCM ni wajinga hivyo? Thubutu!
Gwaji humjui vizuri mkuu. Huyu jamaa ni hatari mara 💯 ukimlinganisha na Polepole. Ndugu Polepole vibomu vyake ni vidogo vidogo....havina madhara. Bomu la Gwajima ni la scud. Madhara yake si ya kubeza. Acha kabisa aisee!Gwaji na yeye ni walewale tuu
Ikiwa Polepole na vibomu vyake vya kurusha kwa mkono wanahaha kumtafuta hadi leo hawajui alipo, sembuse mabomu ya scud ya Gwajima? Hivi Gwajima unamjua vizuri mkuu? Huyu bwana acha kabisa aisee! Huyu ni balaa nyingine.Kwamba CCM wanaogopa atakachosema Gwajima 🤭🤭. Bado siamini.
Polepole anaweza kuongea kitu serious kikaonekana cha kawaida tokana na namna ya uongeaji wake na ufikishaji...Upo sahihi mkuu. Gwajima ni balaa kuliko Polepole mara 💯
Muda utathibitisha.Whatsover you think; let us wait and see what gona happen in reality. But dont think CCM dynasty is such a bunch foolish people....they are clever. They've weighed out the repercussion of Gwajima's threat and decided to surrender unconditionally before it is too late.
Kanisa likifunguliwa uozo utaendelea fichwaGwaji humjui vizuri mkuu. Huyu jamaa ni hatari mara 💯 ukimlinganisha na Polepole. Ndugu Polepole vibomu vyake ni vidogo vidogo....havina madhara. Bomu la Gwajima ni la scud. Madhara yake si ya kubeza. Acha kabisa aisee!
Ngoja tuendelee kusubiri.Ikiwa Polepole na vibomu vyake vya kurusha kwa mkono wanahaha kumtafuta hadi leo hawajui alipo, sembuse mabomu ya scud ya Gwajima? Hivi Gwajima unamjua vizuri mkuu? Huyu bwana acha kabisa aisee! Huyu ni balaa nyingine.
Kujua ukweli. Nimeupata.Wewe lengo lako nini mkuu?
Kaka unajua kama wewe ni padre au sheikh lakini una makandokando yako unayofanya sirini kama vile kua na nyumba ndogo au kuwafanya wanawake kinyume na maumbile halafu mtu akuambie, usipofanya kitu fulani nitaweka mambo yako hadharani, lazima u panic ili kulinda heshma yako uliyo jijengea kwa muda mrefu..Kwamba CCM wanaogopa atakachosema Gwajima 🤭🤭. Bado siamini.