Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

Psychological relief, watu wanaaminishwa uongo ili watulie
Siku za makataa zinakaribia kwisha na wenye jambo lao wanakaribia kulifungua kanisa. Stay tuned mkuu.
 
Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.😂😂😂
 
Kumfungulia Lissu kesi ya bandia ya uhaini na kulifungia Kanisa ni mpango mkakati wa kumtengenezea Samia ajali ya kisiasa na yeye bila kujiuliza kajaa mazima.
Wahuni wamemuingiza kingi. Wewe muache ahangaike.
 
Yaani serikali imuogope Gwajima? acheni kuoverhype mambo ya kipuuzi.
Kama wanamhara Polepole na vibomu vyake vya maputo watashindwa kumuogopa Gwajima mwenye bomu la tomahawk? Mkuu unachekesha sana😂🤣😂🤣
 
Kwa kipindi hiki chote kanisa limefungwa
Je waumini wake waliotayari kufunga ndoa, ndoa zinafungishwaje?
Wanaofariki Je wanazikwaje bila imani yao wanayoiamini
watoto siku ya jumapili wanaenda wapi?
wachungaji ambao wametii amri ya Kristo ya kutowatumikia mabwana wawili wanaishi vipi?
watumishi wa kanisa hili wanaolipa PAYE je kwa kipindi hiki mapato yake kama taifa tumekubali kuyapoteza?
Kupitia sadaka na majitoleo pesa hii ilikuwa inarudi tena kwenye mzunguko, au inaenda benki, benki wanakopesha wengine kwa sababu kunakuwepo idle cash, je madhara haya ya kiuchumi hasara tuliyoipata kama taifa nani atatulipa?
Makanisa zaidi ya 2,000 means kuna umeme yalikuwa yanatumia au jenereta hii consumption ya umeme tu kwa jumapili ilitosha kulipa mishahara kadhaa pale TANESCo, kuna wengine walikuwa wanapanda daladala au bodaboda kwenda kanisani siku ya jumapili maana tumewanyima Mkate wao wa Kila siku kwa mambo ya kijinga kabisa.
Kama issue ni Gwajima au kiongozi mwingine wangemuweka yeye ndani kisha maisha mengine ya waumini yaendelee.
 
Serikali hii inayomuambudu shetani ina sikio la kufa. Hawafikirii haya yote. Wanajali matumbo yao tu.
 
HAIWEZEKNI, HAWA WAMESHAKUWA VIBURI, HAWAWEZI KU SURRENDER KWA SHINIKIZO LA GWAJIMA!
Bahati mbaya, timing ya kulifunga kanisa haikuwa nzuri. Na ndiyo maana mtu mmoja anaweza akaihangaisha serikali
 
Bado siku 3 dude liamshwe
 
Jimmy mafufu mwana theolojia mbobezi alitumwa kumjibu gwajima na mkandarasi mwelekezi tivu ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…