Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumshukuru MunguKumekucha
Usitubague kwenye dini kipindi hiki kigumu cha kupigania demokrasia ya nchi hii bila kubagua dini wala kabila.
Kamjulie hali yake Gaidi huko Segerea itakuwa na maana sana kuliko kubwabwaja hapa JF tu!Mungu IBARIKI CHADEMA
Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu
Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Elimu,elimu,elimu. Katiba,Katiba,katibaaibu hii serikali imejitakia
Amefiwa na Bilionea mdogo wake Frederick ShooAskofu Shoo alikuwepo?
Sukuma gang ni kundi la wahalifu tu , Kwani viongozi wao Bashiru na Katibu wake Sabaya ni wasukuma ?Mnahitaji maombi pia ya Sukuma gang kutoka Furahisha, Mwanza?
Kweli kabisa hata mimi siamini hawa wezetu wametumia weledi wakitaalama kubuni tuhuma hizoElimu,elimu,elimu. Katiba,Katiba,katiba
Bashiru ametemwa ,Ila tunatarajia CCM mpya 2025Sukuma gang ni kundi la wahalifu tu , Kwani viongozi wao Bashiru na Katibu wake Sabaya ni wasukuma ?
Ametemwa Sukuma gang ?Bashiru ametemwa ,Ila tunatarajia CCM mpya 2025