Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

Hongera kwenu KKKT, kufanya ibaada tu hakutoshi, toeni waraka na waambieni waumini wenu nini cha kuifanyia serikali hii ya kijinga kuwahi kutokea katika nchi yetu.
 
Angalieni Mola atakacho fanya masaa chache yajao.
 
Kwani Maaskofu Bagonza na Mwamakula sala zao hazikupokelewa? Afu kama vipi si mkinukishe tu makamanda 😁😁😁😁
 
Waliomkamata Mbowe wanaona aibu isiyo kifani kila siku inapoisha, mateso wanayomsababishia bila kosa ni dhambi itakayowatafuna milele.
 
Mungu IBARIKI CHADEMA

Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu

Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Kwani Maaskofu Bagonza na Mwamakula sala zao hazikupokelewa? Afu kama vipi si mkinukishe tu makamanda πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Mwenye haki hatahukumiwa .!
 
Mungu IBARIKI CHADEMA

Mungu mpiganie Mwenyekiti kisha mtie nguvu

Mungu wasamehe watesi wake kwakuwa hawajui walitendalo
Yaani hawa ni watu wa ajabu sana. Wanafagilia ugaidi. Aibu na iwe kwao
 
Hilo Kanisa la Makongoro haliwezi kufanya jambo hilo. Kumsalia Gaidi? Labda kama alitajwa tu nyumbu mkakimbilia humu eti Maombi. Acheni hizo!
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Kwani Maaskofu Bagonza na Mwamakula sala zao hazikupokelewa? Afu kama vipi si mkinukishe tu makamanda 😁😁😁😁
Mungu ndio atakayetuongoza ikiwa kukinukisha au la
 
Mungu ndie hakimu mkuu wa dunia,yeye aongei sana bali ukizingua anakuhamishia sayari nyingine ukapambane na magoliati uko.
 
Natamani kusikia msimamo wa baba askofu Bagonza kuhusu kadhia anayoipitia Mbowe.
Binafsi namuomba Mungu amfanyie wepesi Mbowe, maana daaah hizo tuhuma ni Mungu tu ajuaye mtihani huu anaoupitia sahizi.
NB: Nadhani sasa watu wanaweza kuelewa tuliokuwa tunatoa tahadhari kuhusu awamu ya sita siyo wote tulikuwa MATAGA au Sukuma Gang. Tuliinusa hatari iliyokuwa mbele ya safari
 
Mbona ameshatoa.
 
Serikali ya CCM isha-panic...suala la katiba mpya linawasumbua mno.

Mwisho wa kuilea CCM umekwisha- katiba wataitoa tu this time watake wasitake.
 
Kikolo huna kazi ya kufanya?kila siku wewe na Mbowe tu, tunataka na habari nyingine hayo ya Mbowe ni yake mwenyewe wacha tupambane na suala la kuchwanjwa au kutochanjwa, unakuwa kama wewe ndie Mnyika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…