kanisa la kwanza lilianzishwa mwaka gani?

Status
Not open for further replies.

MchungajiMakini

Senior Member
Joined
Apr 4, 2008
Posts
191
Reaction score
1
nafikiria kila kitu kina historia yake. na swali hili.

nawaomba wenye kujua na majibu?
 
kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua.

na yule anayejifanya anajua kumbe hajui ndio mjinga.

na kama wewe utasomeshwa bila ya kuuliza au kuwaza ukweli na uongo basi utapotoka na utazidi kupotoka.

kwani wengi walipotoka kuambiwa hivi na wao wakasema sawa ni hivi.

sasa kama mutakasirika kwa swali langu au hamujui basi naomba mukaniulizie? huko munapokujua.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…