Kanisa la mlima wa moto linapatikana wapi kwa Dar?

Kanisa la mlima wa moto linapatikana wapi kwa Dar?

Ocran

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Posts
1,045
Reaction score
1,365
Habari wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka kwenda kusali jumapili hii kwenye ilo kanisa.
 
Ngoja mwanajukwaa yoyote anaejua atuelekeze.
 
Mnakwenda Kujibu Maombi Ya Waolewaji
😀😁😂🤣😃😄😅😆
Haya Maisha Yatakwenda Kasi
 
Mnakwenda Kujibu Maombi Ya Waolewaji
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji38]
Haya Maisha Yatakwenda Kasi
[emoji2][emoji2]maombi yamejibiwa.
 
Liko Mikochenii
Naona Upepo Wa KISULISULI umeanza Kuvuta watu Kutoka Pande Zotee
 
Back
Top Bottom