Kanisa la mlima wa moto linapatikana wapi kwa Dar?

Wanawake wanategemea miujiza badala ya logic...mafundisho ya nidhamu,utii na unyenyekevu hakuna badala yake wanategemea miujiza..
 
Wanawake wanategemea miujiza badala ya logic...mafundisho ya nidhamu,utii na unyenyekevu hakuna badala yake wanategemea miujiza..
kweli kabisa, mimi huwa nashangaa sana watu wanaopenda shortcut.
 
Nyie akina dada ambao mnababaika bila wanaume hamjasikia habari njema huko mlima wa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…